Je, tatizo la Stroke linaweza kupona?

Mkuu pole na majanga
Kwa experiance ambayo niliipata kwa wazazi wangu wawili ambao wote walipata stroke kwa nyakati tofuti
Ni kuwa inatibika ukiiwahi
 
Vyema Mkuu. Hivi ' Mambo yetu' yare anayaweza Tena, au ndio Alie TU ?....[emoji846]
 
...Brother, Dawa za Mitishamba tusiziponde kabisa! Zimesaidia Wengi ambao hawakumudu kuweza kukimbilia Regency au Muhimbili...!?
 
Je alikuwa na tatizo la shinikizo la damu muda mrefu?
 
Stroke mara nyingi haswa ya viungo hutibiwa kwa kuvifanyisha mazoezi viungo vilivyopooza.

Japo sina uhakika wa 100%
 
Pole kwa kuuguza Mkuu, Jaribu na mitishamba mara nyingi huwa inasaidia watu.

Ni vile umechelewa lakn kuna vijiti huwa wanawapa watu waliopata Stroke ili kuzuia Damage kubwa.

Pambana kotekote Mkuu.
Kama huijui hiyo mitishamba na bingwa wa tiba hiyo Bora unyamaze. Yeye anataka aambiwe ni fulani yupo sehemu fulani na ansaminika kutibu ugonjwa huo. Sasa hapo umemuweka kwenye kilengeo ataenda kwa wale matapeli wanaopanga madawa feki mitaani maana hukumpa mtaalamu halisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…