Je, tatizo la Stroke linaweza kupona?

Je, tatizo la Stroke linaweza kupona?

Dogo majibu sahihi yako kwa waliofanya hiyo scan, pata ushauri kwao, na kama kuna matibabu mbadala, watakushauri hao!

Kutegemeana na level ya damage ( aliyemfanyia vipimo ndo anajua ) anaweza kupona!

Ni wakati Mgumu ila pambana dogo, ndo Maisha, angalau wewe hulalamiki maitaji, na fedha, kuna watu yanawakuta na hela hawana!

Cha muhimu kwa sasa ni Kuwa karibu na Mzee ili asikate tamaa; jikaze kiume, changamoto ni kawaida dogo, nakuombea!
 
Kuna workmate alipata stroke pia na alipona sijui alitumia njia gani ila alipona.

Nadhani ni ugonjwa unaotibika ukipata tiba sahihi.
 
Shukrani sana mkuu inshallah atakaa sawa nimeanza kumpelekea muhimbili Toka juzi anafanyishwa na mazoezi ili akae sawa
 
Dogo majibu sahihi yako kwa waliofanya hiyo scan, pata ushauri kwao, na kama kuna matibabu mbadala, watakushauri hao!

Kutegemeana na level ya damage ( aliyemfanyia vipimo ndo anajua ) anaweza kupona!

Ni wakati Mgumu ila pambana dogo, ndo Maisha, angalau wewe hulalamiki maitaji, na fedha, kuna watu yanawakuta na hela hawana!

Cha muhimu kwa sasa ni Kuwa karibu na Mzee ili asikate tamaa; jikaze kiume, changamoto ni kawaida dogo, nakuombea!
Shukrani sana kaka
 
Shukrani sana mkuu inshallah atakaa sawa nimeanza kumpelekea muhimbili Toka juzi anafanyishwa na mazoezi ili akae sawa
Atakaa sawa tu, kikubwa msimpe mastress zaidi, hawa wazee wetu wakiwa na stress sana ndio magonjwa huwaandama sana
 
Wakuu jana baada ya kurudi home nilivyotoka uwanjani taifa nilimkuta mzee wangu hawezi kutembea yaani upande wa kushoto haufanyi kazi nilipata maumivu mara mbili yaani nilifungwa kwenye timu na narudi home nakuta majanga je Stroke inaweza kupona maana jana nilifika kituo cha afya ili apime kipimo cha CitiScan majibu yakaja kuwa amepata damage upande wa ubongo hapa naongea huku natamani kulia mkono na mguu wake havifanyi kazi naomba kujua dawa au matibabu ya haraka yanayoweza kumfanya harudi katika Hali yake ya kawaida
Pole sana ndugu yangu.

Ubongo ukipata damage huchukua muda mrefu sana kujijenga tena, ingawa utajijenga pole pole. Ninavyojua mimi huwa hakuna dawa ya kutibu brain injury; kuna madawa ya kusaidia kupunguza madhara ya brain damage kama vile pain management, neurological disorder management na mood management. Kutegemea na injruy inaweza kuchukua miaka 10 mpaka 20 kupona kabisa

La muhimu ni kama ubongo wa kumbukumbu haukuharibiwa, kwani akipoteza kumbukumbu zote itakuwa kazi sana kumlea.
 
Pole sana ndugu yangu.

Ubongo ukipata damga huchukua muda mrefu sana kujijenga tena, ingawa utajijenga pole pole; ninavyojua mimi huwa hakuna dawa ya kutibu brain injury. Kuna madawa ya kusaidia kupunguza madhara ya brain damage kama vile pain management, neurological disorder management na mood management. Kutegemea na injruy inaweza kuchukua miaka 10 mpaka 20 kupona kabisa

La muhimu ni kama ubongo wa kumbukumbu haukuharibiwa, kwani akipoteza kumbukumbu zote itakuwa kazi sana kumlea.
Imemchukua mkono wa kushoto na mguu wa kushoto bado kwenye ufahamu yupo vizuri sana ndugu yangu
 
Kama ni maungo tu yaliyoathirika basi ataweza kupona kwa kufanya mazoezi (physiotherpy) lakini pia itachukua taklribani miaka mitatu kukamilika. Kuna ndugu yangu mmoja aliyepata stroke ya namna hiyo ana takribani miaka miwili sasa bado hajaweza kutembea sawasawa japo anaweza kusimama na kupiga hatua chache. Fanya utaratibu wa kumpatia mzee wako wheelchair ya kutumia kipindi hiki.

Pole sana ndugu yangu; ndiyo hali ya dunia.

Mimi mpaka sasa nina ndugu wawili (ages zaidi ya 60) wanaouguza stroke. Mmoja aliipata zaidi ya miaka miwili iliyopita akaathirika upande wa kushoto kama mzee wako. na mwingine kaipata mwishoni mwa mwaka jana naye kaathirika upend wa kushoto. Vile vile kuna jamaa tulikuwa pamoja High school naye niliambiwa anauguza stroke japo sikupata data zake sana. Kuna marafiki zangu kadhaa tulikuwa nao UDSM wengi wao wamekufa kwa stroke wote wakiwa na umri chini ya miaka 60. Inaonekana stroke limekuwa tatizo sana kwenye jamii yetu siku hizi.

Tuombe Mungu atamsaidia mzazi wako.
 
Aisee mkuu huu ugonjwa ni hatari sana mie Toka majuzi nimekuwa napata sana huzuni
 
Back
Top Bottom