Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Wewe UPO DAR ? Nifuate in box tupate kuzungumza zaidiUpo dar es salaam?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe UPO DAR ? Nifuate in box tupate kuzungumza zaidiUpo dar es salaam?
Ndio nipo dar es salaamWewe UPO DAR ? Nifuate in box tupate kuzungumza zaidi
Una matatizo ya akili mwanetuUguza mpaka uchoke mwenyewe
Kuna mtu anawatibu Hawa watu wanarudi katika Hali zao za kawaida aisee.. njoo inbox
Akipata therapy sahihi huyu anapona kabisa bado viungo vyake viko active kureactivate na kurespond kwa dawa.
Shukrani sana mkuuPole mkuu
Shukrani sana mkuu inshallah atakaa sawa nimeanza kumpelekea muhimbili Toka juzi anafanyishwa na mazoezi ili akae sawaKuna workmate alipata stroke pia na alipona sijui alitumia njia gani ila alipona.
Nadhani ni ugonjwa unaotibika ukipata tiba sahihi.
Shukrani sana kakaDogo majibu sahihi yako kwa waliofanya hiyo scan, pata ushauri kwao, na kama kuna matibabu mbadala, watakushauri hao!
Kutegemeana na level ya damage ( aliyemfanyia vipimo ndo anajua ) anaweza kupona!
Ni wakati Mgumu ila pambana dogo, ndo Maisha, angalau wewe hulalamiki maitaji, na fedha, kuna watu yanawakuta na hela hawana!
Cha muhimu kwa sasa ni Kuwa karibu na Mzee ili asikate tamaa; jikaze kiume, changamoto ni kawaida dogo, nakuombea!
Atakaa sawa tu, kikubwa msimpe mastress zaidi, hawa wazee wetu wakiwa na stress sana ndio magonjwa huwaandama sanaShukrani sana mkuu inshallah atakaa sawa nimeanza kumpelekea muhimbili Toka juzi anafanyishwa na mazoezi ili akae sawa
Pole sana ndugu yangu.Wakuu jana baada ya kurudi home nilivyotoka uwanjani taifa nilimkuta mzee wangu hawezi kutembea yaani upande wa kushoto haufanyi kazi nilipata maumivu mara mbili yaani nilifungwa kwenye timu na narudi home nakuta majanga je Stroke inaweza kupona maana jana nilifika kituo cha afya ili apime kipimo cha CitiScan majibu yakaja kuwa amepata damage upande wa ubongo hapa naongea huku natamani kulia mkono na mguu wake havifanyi kazi naomba kujua dawa au matibabu ya haraka yanayoweza kumfanya harudi katika Hali yake ya kawaida
Imemchukua mkono wa kushoto na mguu wa kushoto bado kwenye ufahamu yupo vizuri sana ndugu yanguPole sana ndugu yangu.
Ubongo ukipata damga huchukua muda mrefu sana kujijenga tena, ingawa utajijenga pole pole; ninavyojua mimi huwa hakuna dawa ya kutibu brain injury. Kuna madawa ya kusaidia kupunguza madhara ya brain damage kama vile pain management, neurological disorder management na mood management. Kutegemea na injruy inaweza kuchukua miaka 10 mpaka 20 kupona kabisa
La muhimu ni kama ubongo wa kumbukumbu haukuharibiwa, kwani akipoteza kumbukumbu zote itakuwa kazi sana kumlea.
Wewe una matatizo ya kua na akili nyingi zilizokosa matumiziUna matatizo ya akili mwanetu
Kama ni maungo tu yaliyoathirika basi ataweza kupona kwa kufanya mazoezi (physiotherpy) lakini pia itachukua taklribani miaka mitatu kukamilika. Kuna ndugu yangu mmoja aliyepata stroke ya namna hiyo ana takribani miaka miwili sasa bado hajaweza kutembea sawasawa japo anaweza kusimama na kupiga hatua chache. Fanya utaratibu wa kumpatia mzee wako wheelchair ya kutumia kipindi hiki.Imemchukua mkono wa kushoto na mguu wa kushoto bado kwenye ufahamu yupo vizuri sana ndugu yangu
Aisee mkuu huu ugonjwa ni hatari sana mie Toka majuzi nimekuwa napata sana huzuniKama ni maungo tu yaliyoathirika basi ataweza kupona kwa kufanya mazoezi (physiotherpy) lakini pia itachukua taklribani miaka mitatu kukamilika. Kuna ndugu yangu mmoja aliyepata stroke ya namna hiyo ana takribani miaka miwili sasa bado hajaweza kutembea sawasawa japo anaweza kusimama na kupiga hatua chache. Fanya utaratibu wa kumpatia mzee wako wheelchair ya kutumia kipindi hiki.
Pole sana ndugu yangu; ndiyo hali ya dunia.
Mimi mpaka sasa nina ndugu wawili (ages zaidi ya 60) wanaouguza stroke. Mmoja aliipata zaidi ya miaka miwili iliyopita akaathirika upande wa kushoto kama mzee wako. na mwingine kaipata mwishoni mwa mwaka jana naye kaathirika upend wa kushoto. Vile vile kuna jamaa tulikuwa pamoja High school naye niliambiwa anauguza stroke japo sikupata data zake sana. Kuna marafiki zangu kadhaa tulikuwa nao UDSM wengi wao wamekufa kwa stroke wote wakiwa na umri chini ya miaka 60. Inaonekana stroke limekuwa tatizo sana kwenye jamii yetu siku hizi.
Tuombe Mungu atamsaidia mzazi wako.
Wewe utaishia kuwa masikini hadi kufa kwakoWewe una matatizo ya kua na akili nyingi zilizokosa matumizi