masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
sasa Confirmation ya nini kutoka kwa mungu wakati jibril alipofika utume ukawa umefika kwa Mohammad ,kwenda kwa waraqah ni hofu ya kibinadamu hakuna uhusiano wowote na utume yaani kiufupi kwenda au kutokwenda kwa waraqah hakuna uhusiano na utume, kwasababu utume kapewa na Mungu kupitia jibril.Sasa huoni tofauti bado kati ya Abrahamu na Muhammad? Abrahamu alikuwa anaomba aya toka kwa wanadamu au toka kwa Mungu? Je,Muhammad alienda kuomba confirmation ya utume wake toka kwa Mungu (aliyekuwa amemtuma Malaika Gabrieli) au toka kwa kasisi Waraqahal?
Jibu ni rahisi tu Mohammad ndio alikuwa akifikisha ujumbe wa Mungu kwa watu kiufupi Quran imeshuka kwa Mohammad kuhusu kuongeza neno hilo halipo kwasababu Mungu alithibitisha kwamba atakacho fundishwa Mohammad awezi kusahau1. Kwa hiyo, sasa taratibu munaanza kukubali kwamba Muhammad naye ana mkono wake katika uandishi wa Kurani! Kama Muhammad alihusika katika Compilation,ni kitu gani kinaondoa uwezekano wa yeye kuongeza maneno yake mwenyewe tofauti na yale aliyokuwa amempatia Mungu?
2. Nani ana uhakika na Fidelity ya Muhammad kwa asilimia 100% kwamba hakuweza kufanya manipulation yoyote katika Kurani? Je,ni nani atatoa uhakikisho kwamba idadi ya vitabu vilivyomo katika Kurani ndio idadi ambayo Muhammad alipewa na Mungu na kwamba yeye Muhammad hakupunguza au hakuongeza na vya kwake?
3. Je,mpaka Mungu ampe Muhammad kazi ya compilation ya Kurani ina maana Mungu hakuwa na uwezo wa kufanya hiyo compilation na kisha kumkabidhi Muhammad Kurani ikiwa tu imekamilika?
Mohammad ni mtu kama musa au kama Yesu hilo halina mjadala ,nimekwambia kuhusu kuuliza kwa waraqah hakuna uhusiano na utume kwasababu mtoa utume ni Mungu kupitia jibril hivyo basi alipomtokea pangoni utume ukawa umefika kwa mohamadi.Nakushukuru kwamba umesema wewe mwenyewe kuwa Muhammad alikuwa mtu wa kawaida tu na wala hakuwa cha utume kwa sababu wote waliokuwa wanatokewa na malaika Gabrieli katika historia hawakuwahi kwenda kupata consultation toka yoyote bali Mungu mwenyewe ndiye alikuwa anajitokeza kusema fulani ameshampatia ,ufunuo. Kwa mfano ni Mama Bikra Maria.Huyu hakwenda kwa yeyote kuuliza kwamba hivi kweli manenon aliyoambiwa na Malaika Gabrieli yalikuwa yana maana gani.Pili,ni Zakaria, Abrahamu na Sara.
Write your reply...mleta uzi pia kadanganya eti alietengeza sanamu kachota unyayo wa mtume,kwamba anashangaa mtume awezaje kuwepo kipindi cha moses,anaeongelewa hapo sio mohamed SAW,awezakua anamanisha moses,sasa kama hata mimi sikusomea dini naweza kuona uongo wa huyu mtu,hivi nyie mliosemea dini hamkuona?
Mohammad ni mtu kama musa au kama Yesu hilo halina mjadala ,nimekwambia kuhusu kuuliza kwa waraqah hakuna uhusiano na utume kwasababu mtoa utume ni Mungu kupitia jibril hivyo basi alipomtokea pangoni utume ukawa umefika kwa mohamadi.
Write your reply...hahaha,huyu jamaa athee...sasa ndugu mleta uzi unafikiri mabandali ya vitabu yaliporomoka toka juu.? Ni kuwa baada ya kupokea ufunuo akawahita watu na kuanza kutoa ufunuo huku wao wanaandika,hii ni tofauti na bible ambayo tunaona yesu akihutubia lakini waandishi wakaja kuandika miaka hamsini baada ya tukio
Kwanza ntoe shukrani zangu kwko kwa kuelewa somo lakwanza mana uliloongea hukuwa unaushahidi nalo,na nmekupa nafas km utaona au unayo aya km samiri ametajwa km ni mtu wakwenye hlo kabla hakuna andiko ulotoa niwazi hlo umeelewa sasa twende somo jngne juu y maswali yko..ila kbla cjakujibu ningeomba nijue jee wew ni muumini wa mungu nakm muumin wamungu bs wew n dini gn ili nijue natoa darasa kwmtu wa aina gani nakm piah c muumini wa mungu nijue ili twende sawa..man cyo natoa darasa la chuo kumbe upo chekechea(vidudu)naomba nijbu haraka tuanze darasa1. Kwa hiyo, sasa taratibu munaanza kukubali kwamba Muhammad naye ana mkono wake katika uandishi wa Kurani! Kama Muhammad alihusika katika Compilation,ni kitu gani kinaondoa uwezekano wa yeye kuongeza maneno yake mwenyewe tofauti na yale aliyokuwa amempatia Mungu?
2. Nani ana uhakika na Fidelity ya Muhammad kwa asilimia 100% kwamba hakuweza kufanya manipulation yoyote katika Kurani? Je,ni nani atatoa uhakikisho kwamba idadi ya vitabu vilivyomo katika Kurani ndio idadi ambayo Muhammad alipewa na Mungu na kwamba yeye Muhammad hakupunguza au hakuongeza na vya kwake?
3. Je,mpaka Mungu ampe Muhammad kazi ya compilation ya Kurani ina maana Mungu hakuwa na uwezo wa kufanya hiyo compilation na kisha kumkabidhi Muhammad Kurani ikiwa tu imekamilika?
Write your reply...samahani mleta uzi siwezi kukuquote,natumia analogue,sasa ndugu yangu samir alishika unyayo wa mtume kama alivyojitetea kwa msa,it could mean anything,hivi hujawahi sikia habari za watu kuchotwa nyayo.?yaani alama ya mguu iliyoachwa ardhini? Pia kuhusu mtume aliweza vipi kukalili yote aliyoambiwa na mungu,hujawahi kuona watu wanahifadhi juzuu.pia quran ilishuka step by step,leo anapokea ufunuo huu,kesho mwingine
Write your reply...samahani mleta uzi siwezi kukuquote,natumia analogue,sasa ndugu yangu samir alishika unyayo wa mtume kama alivyojitetea kwa msa,it could mean anything,hivi hujawahi sikia habari za watu kuchotwa nyayo.?yaani alama ya mguu iliyoachwa ardhini? Pia kuhusu mtume aliweza vipi kukalili yote aliyoambiwa na mungu,hujawahi kuona watu wanahifadhi juzuu.pia quran ilishuka step by step,leo anapokea ufunuo huu,kesho mwingine
this is called snitchin'Mtoa mada njoo na hapa umsifie NYABHINGI ahahahahaahaha
wee umekujaa huku bila kuni-tag?? Kwani Omary aliua kafir kwenye kuunga cha mitende maka, akaja anatamba kwa baba kassim kwa kuua kafir...baba kassim alisikitika na kumwambia kwamba Jana alisilimu hivyo umemuua muislamu mwenzako...tatizo ni lile lile Wa kukufundisha kajifia! Mwenzio hata mbuzi alisema Yesu ni Mwana Wa Mungu napiga HALELUYA AMEN! jifunze kuanzia Leo Angalia UJUMBE sio MTOA NENO! sema asante mgen kwa Fundisho [emoji4]Huyu NYABHINGI alishasema yeye aamini kitabu chochote kwasababu ni uongo hakuna alieongea na Mungu tena alishawai kusema huyo Yesu hajawai kuishi duniani kwasababu hakuna mwanahistoria yeyote aliemwandika vip ndugu mtoa mada hili unakubali? ahahahahha au kwavile leo kamponda Mohammad umemsamehe ya nyuma unashangaza kweli
Weka Ushahidi koloani ni maneno ya Mungu Mwenyezi! Tena kwa mujibu Wa Vitabu vilivyo tangulia kabla koloaniKatika Imani ya Uislam, Quran ni maneno ya Mungu. Kwa anayesadiki, maneno hayo ni ya kweli tupu. Biblia ni maandiko ya watu kama mimi na wewe. It's easy to conclude Biblia ndio ina makosa na Mungu hakosei. Na kama Mungu hakosei...Quran haijakosewa.
As long as huamini Quran ni maneno ya Mungu. You two cannot sit to discuss this topic
Sent using my NOKIA torch
Tupe mfano Mmoja Wa kabla ya muhammad! Malaika Anaye leta Ujumbe toka Mwenyezi Mungu alimkaba mtume yeyote hadi kakojo [emoji47] [emoji4]Hivi wewe Mohammad hakuwai kumuona malaika halafu kwanini asiwe na wasiwasi wakati ndio mara ya kwanza kumuona hata hili nalo kwako ni mada
Nani alimpa Utume?Muhammad alikua mtu tu just like me and you. Hivi wewe ukitokewa na jambo kama hilo ungefanyaje? Muhammad hakujijua kama yeye ni Mtume na alikua bado hajapewa hata ayah moja ya Quran. Alipotokewa na Gabriel ndio ilikua ufunuo wake wa mwanzo.
Sent using my NOKIA torch
Nimekwambia ni hofu ya kibinadamu kama mwanadamu lakini hakuna uhusiano na utume pale jibril alipomtokea ndipo utume ulipoanzaKwa hiyo kwa kasisi Waraqahal alifuata nini kama utume wake ulianza by time akiwa pangoni?
Aya hiko wazi sijui hata unasoma Quran ipi iliokwambia huyo mtume ni Mohammad .Nimeshakwambia ebu tafuta neno unyayo maana yake nini ndio utaelewa tafsiri ya hiyo aya1. Unaona jinsi munavyojichanganya sawa na Muhammad alivyojichanganya katika simulizi la kisa hicho? Musa(Moses) unayemdhania kwa Kadri ya simulizi hilo la Kurani hakuwepo wakati hilo Roboti linatengenezwa.Sasa ilikuwaje tena Moses huyo huyo ashikwe Unyayo na Msamaria?
2. Na kama Muhammad alikuwa anaambiwa na Mungu kitu cha kuandika kwa nini hakuuliza mtume huyo alikuwa nani ili kuondoa uwezekano wa watu kumdhania kwamba ni Muhammad?
3. Au Tuseme kwamba yeye Muhammad alikuwa anaogopa kumuuliza Mungu jambo lolote hadi aachilie vitu vya kuchanganya kama viandikwe?
4. Au tufikirie kwamba kwa sababu Muhammad hakujua kusoma wala kuandika ina maana hata madishi yake ya reasoning hayakuwa active kivile kuweza ku-detect kwamba jambo fulani baadaye linaweza kuzaa mkanganyiko katika jamii?
Umeliza uwezo aliutoa wapi? jibu ni rahisi tu Mungu alimpa uwezo huo1. Nimekuuliza uwezo wa Muhammad kumeza mambo aliutoa wapi wakati kule pangoni alishindwa kumeza hadi Malaika kuamua kutembeza bakora?
2.Unataka kusema Umezaji wa juzuu wa watu fulani katika Uislamu ndio benchmark ya uwezo wa Muhammad? Na kama ndivyo ina maana hata hao wameza juzuu wangalikuwapo pangoni nao wangalipokea kipigo kama Muhammad kwa sababu uwezo wao unalingana?
3. Kama wameza juzuu wao wana uwezo kuliko wa Muhammad, ndiposa nawaulizeni ni kwa nini tuondoe uwezekano kwamba Muhammad alizidiwa akili na wapambe wake (na hivi kuingiza katika Kurani mambo iirelevant) maana leo leo kuna watu wanaweza kumeza juzuu wakati Muhammad alishindwa kufanya hivyo?