Je, teknolojia ya roboti wanaoongea ilikuwepo wakati wa Musa na Haruni kama Kurani?

Hizi lawama au kilio?
 
Tupe mfano Mmoja Wa kabla ya muhammad! Malaika Anaye leta Ujumbe toka Mwenyezi Mungu alimkaba mtume yeyote hadi kakojo [emoji47] [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Unashangaa malaika kukaba vip Mungu wako alipopigana MIELEKE usiku kucha na yakobo mpaka Mungu wako akacheza rafu ndio kumshinda yakobo
 
Injili inapatikana kwenye Quran eti.... Hiiiiiiiiii kwa sauti ya jiwe
 
Reference yangu na zako ni tofauti, hatuwezi kuongelea hili. Simple tu.

Sent using my NOKIA torch
Mbona unajificha kwenye shamba la karanga.... Kusema tu Injili ya issa inapatikana wapi ni tatizo.... Hiiiiiiiiiiii kwa sauti ya jiwe
 
Mbona unajificha kwenye shamba la karanga.... Kusema tu Injili ya issa inapatikana wapi ni tatizo.... Hiiiiiiiiiiii kwa sauti ya jiwe
We unajua inakopatikana Injili ya Issa?

Sent using my NOKIA torch
 
Huyo ni Mungu sawa!? Wapi Malaika Gabriel alimkaba mtu wakati akileta ujumbe Wa Mwenyezi [emoji47]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo akili yako inakubali kuwa Mungu anacheza MIELEKA lakini malaika kumkaba mtu haiwezekani . sasa kipi ni kichekesho Mungu kugeuka JOHN Cena au malaika kumkaba mtu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…