Je, tetesi hizi zina ukweli?

Harris ka...I..piga mumemtenga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haijathibitika chanzo cha Ushoga ni Biological Or Environmental ie Nature vs Nurture Debate.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa cha kushangaza unakuta kuna mtoto US kuanzia ana miaka mitano alikataa kuvaa nguo za kike na mpaka sasa ni teenager ameanza hormones za kiume. Mwingine siweze sema maana wanangu wanaingia watajua nimewasemea. Kuna mwenzake na mwanangu jinsia naficha yeye hata jina kabadili. Tulipoishi wote ughaibuni hakuwahi vaa nguo ya kike. Aliporudi US toka huko tulipokuwa wote mzigoni kawaeleza wazazi kuwa yeye ameamua jinsia yake ni ME. Sasa anajitahidi kubeba vyuma ili aonekane vile.
Unaonaje? Nina Mifano mingi wanasema tembea uone. Hawa watu lazima mmoja atakuwa na futures za opposite. Kama wote wanawake, mmoja atataka aoinekane mwanamme. Kama wanaume mmoja anaonekana mwanamke. Je Kwanini Michael Jackson hakutoka kuonyesha jinsia yake? Watoto alioacha wote ni wakuadopt au kutungikiwa mimba na rafiki yake.
 
Saying so doesn't make so.

Wengine wakiona wameshindwa kutoka wanasingizia walizaliwa hivyo ni Waongo.
Biological gays are very few population.
Hawa wengi ni nature imewafanya wawe hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi ni kutokana na kuwa abused kwa muda mrefu inakuwa tabia.
 
wachungaji wa kipentekoste hawako hivyo, ikibainika yuko hivyo atafukuzwa uchungaji akafie mbali. makanisa ya kiroho hayalei na kuremba dhambi, ukionywa husikii unatengwa na hatimaye unafukuzwa kanisani
Nani aliekwambia kuwa huwa wanaweka wazi, ngoja siku uje umkute unaeamini ni mchungaj wako akiserebuka ndio utaelewa maana ya msemo wa wahenga....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Duh! Kwa hiyo, ukishasikia tu mtu anasemwa hivyo inakuwa kweli? Kwa mambo kama haya ni vizuri kujipa muda (to suspend judgement) otherwise tunaweza kujikuta tukaaminishwa kitu ambacho baadaye tunajilaumu kwa nini tuliamini hivyo na hatukuchukua tahadhari. Ni hivyo pia, kwa mambo ya ndoa...usichukulie kama ukweli kabisa ukisikia watu wanasema mwenzako wa ndoa anachukulia au anamchukua fulani. UKisikia hivyo, cha kufanya ni kujip muda wa kutosha kuchunguza (hata kama wanaokwambia unawaamini kufa kupona maana na wao wanaweza kudanganywa au kupotoshwa maana haraka haraka haina baraka. Hata kwa habari uliyoipata, nakushauri ufanye hivyo. Jipe muda.
 

Kama wewe ulilazimishwa kua shoga basi pole yako pengine ni tamaa zako za kimwili na kifedha hadi ukatumbukia huko, nani alaumiwe??

Mimi ni lesbian yes lakini sijawahi kukaa chini na kuanza kumsema mtu asiyekua Lesby, sasa nawashangaa nyie kutwa kuwazungumzia wenzenu, umaskini wako unatafuta wa kumtulia hahahaha eti utatumaliza my ribs [emoji23][emoji23] hebu anza na mimi kwanza naona una hamu ya kuokota sabuni.
 
Miaka 3 nyuma huyo muimbaji angeitwa Freemason, Miaka 6 nyuma angesemwa ana HIV, Miaka 12 nyuma angesemwa Usalama wa Taifa!.
Tusaidiane predict miaka 4 mbele tutawapa sifa gani!..
 
Aiseee Wazazi inatupasa tuwe close sana na mienendo ya Vijana wetu wa kiume hasa wale wa boarding school la sivyo tutapata hasara kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata hizi shule za kutwa, kuna kesi moja niliishuhudia watoto wa form two walikutwa wanampiga mtungo mvulana mwenzao vichakani ni shule ya kata.
 
Laana ni ile ya kufanya ufisadi kwa pesa za wanyonge au ile ya kunyanyasa yatima na wajane au ile ya mwenye nacho kutokumsaidia asiyekua nacho au pale unapompa mimba mwanamke kisha unamkataa au unamwambia akaitoe, au au au auuuu.
Una maanisha ushoga wenyewe sio laana? naona kama sijakuelewa vile!
 


Pole sana.

Ujumbe wangu umeupata.
 
Wengi ni kutokana na kuwa abused kwa muda mrefu inakuwa tabia.
Sababu zipo nyingi wengine ni tamaa ya pesa na vitu vizuri.
Wengine wanafanya kwa sababu walishatendwa na wasichana akaamua kuwachukia moja kwa moja.
Wengine gay porn.
Wengine walikosa female company akajikuta anafanya tu ( situational gays) .
Nk.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hauwezi kushindana ooh kushindana na Wanadamu wenye kinywa.
hayayayayayaa... [emoji443][emoji444][emoji346][emoji344][emoji345][emoji441][emoji445]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…