Je, tetesi hizi zina ukweli?

Je, tetesi hizi zina ukweli?

kwa makanisa ya kipentekoste hajawa na mafundisho ya ushoga ni kinyume na maandiko matakatifu, ikitokea kuna mchungaji yuko hivyo atafukuzwa kanisani akafie mbali. makanisa ya kiroho hayakai na washirika watenda dhambi kila mara. kutubu ni mara moja tu. mzinzi, muasherati na mlawiti hawawezi kustahimili kusali katika makanisa haya. wenyewe tu wanayaogopa kwa kuwa yanaanika dhambi hizo waziwazi na kuwafukuza watenda matendo hayo maovu
Harris ka...I..piga mumemtenga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haijathibitika chanzo cha Ushoga ni Biological Or Environmental ie Nature vs Nurture Debate.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa cha kushangaza unakuta kuna mtoto US kuanzia ana miaka mitano alikataa kuvaa nguo za kike na mpaka sasa ni teenager ameanza hormones za kiume. Mwingine siweze sema maana wanangu wanaingia watajua nimewasemea. Kuna mwenzake na mwanangu jinsia naficha yeye hata jina kabadili. Tulipoishi wote ughaibuni hakuwahi vaa nguo ya kike. Aliporudi US toka huko tulipokuwa wote mzigoni kawaeleza wazazi kuwa yeye ameamua jinsia yake ni ME. Sasa anajitahidi kubeba vyuma ili aonekane vile.
Unaonaje? Nina Mifano mingi wanasema tembea uone. Hawa watu lazima mmoja atakuwa na futures za opposite. Kama wote wanawake, mmoja atataka aoinekane mwanamme. Kama wanaume mmoja anaonekana mwanamke. Je Kwanini Michael Jackson hakutoka kuonyesha jinsia yake? Watoto alioacha wote ni wakuadopt au kutungikiwa mimba na rafiki yake.
 
Saying so doesn't make so.

Wengine wakiona wameshindwa kutoka wanasingizia walizaliwa hivyo ni Waongo.
Biological gays are very few population.
Hawa wengi ni nature imewafanya wawe hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi ni kutokana na kuwa abused kwa muda mrefu inakuwa tabia.
 
wachungaji wa kipentekoste hawako hivyo, ikibainika yuko hivyo atafukuzwa uchungaji akafie mbali. makanisa ya kiroho hayalei na kuremba dhambi, ukionywa husikii unatengwa na hatimaye unafukuzwa kanisani
Nani aliekwambia kuwa huwa wanaweka wazi, ngoja siku uje umkute unaeamini ni mchungaj wako akiserebuka ndio utaelewa maana ya msemo wa wahenga....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko hapa Dar kibiashara tangu Jumamosi (nimekuja kuuza vumbi la Kongo maana nimeona biashara ya majeneza peke yake ntakufa na njaa)
Sasa jana nikiwa ndani ya bar moja mitaa ya Makumbusho mida ya saa mbili hivi usiku niko na jamaa zangu tunakula tungi ghafla kuliibuka ubishani meza ya jirani kulikuwa na jamaa flani mmoja namjua huwa ni bongo movie sasa walikuwa wanabishana kuhusu watu maarufu wanaotafunwa (mashoga)
Ubishani huo uliibuka baada ya wadau hao kudai kuwa yule msanii kijana machachari wa muziki wa injili ambaye anafahamika
kama "Nzuri bahati" (nimetumia code)
Eti huyu kijana naye yumo kwenye skendo ya kubanduliwa.!
Ukweli hata mimi sikuamini kabisa maana binafsi nyimbo za huyu kijana huwa zinanibariki sana sasa leo mtu aseme eti huyu kijana naye ni "biriani"
Ukweli mpaka sasa siamini kabisa!
Sasa humu najua kuna watu tofauti na pengine wapo waliowahi kusikia hii kitu je ni kweli hizi habari? wazee wa codes na mji mzito..
Cc Warumi

Sent using Jamii Forums mobile app

Duh! Kwa hiyo, ukishasikia tu mtu anasemwa hivyo inakuwa kweli? Kwa mambo kama haya ni vizuri kujipa muda (to suspend judgement) otherwise tunaweza kujikuta tukaaminishwa kitu ambacho baadaye tunajilaumu kwa nini tuliamini hivyo na hatukuchukua tahadhari. Ni hivyo pia, kwa mambo ya ndoa...usichukulie kama ukweli kabisa ukisikia watu wanasema mwenzako wa ndoa anachukulia au anamchukua fulani. UKisikia hivyo, cha kufanya ni kujip muda wa kutosha kuchunguza (hata kama wanaokwambia unawaamini kufa kupona maana na wao wanaweza kudanganywa au kupotoshwa maana haraka haraka haina baraka. Hata kwa habari uliyoipata, nakushauri ufanye hivyo. Jipe muda.
 
Nimekuambia ulizamishe watu wakubaliane na ushetani wako wa kasagana.

Hayo mengine n kujaribu kunitoa on point.

Nyie wasagaji n kuwamaliza.

Kila post ya kupinga ushoga wewe na wasagaj wenzako mnatokwa na povu as if usenge n jambo jema.

Nitawasema popote.

Halafu suala la kukoncive watu wafate ushenzi wenu mkome, maana ipo siku mtasaga meno kwa kilio kisichokwisha

Kama wewe ulilazimishwa kua shoga basi pole yako pengine ni tamaa zako za kimwili na kifedha hadi ukatumbukia huko, nani alaumiwe??

Mimi ni lesbian yes lakini sijawahi kukaa chini na kuanza kumsema mtu asiyekua Lesby, sasa nawashangaa nyie kutwa kuwazungumzia wenzenu, umaskini wako unatafuta wa kumtulia hahahaha eti utatumaliza my ribs [emoji23][emoji23] hebu anza na mimi kwanza naona una hamu ya kuokota sabuni.
 
Miaka 3 nyuma huyo muimbaji angeitwa Freemason, Miaka 6 nyuma angesemwa ana HIV, Miaka 12 nyuma angesemwa Usalama wa Taifa!.
Tusaidiane predict miaka 4 mbele tutawapa sifa gani!..
 
Aiseee Wazazi inatupasa tuwe close sana na mienendo ya Vijana wetu wa kiume hasa wale wa boarding school la sivyo tutapata hasara kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata hizi shule za kutwa, kuna kesi moja niliishuhudia watoto wa form two walikutwa wanampiga mtungo mvulana mwenzao vichakani ni shule ya kata.
 
Laana ni ile ya kufanya ufisadi kwa pesa za wanyonge au ile ya kunyanyasa yatima na wajane au ile ya mwenye nacho kutokumsaidia asiyekua nacho au pale unapompa mimba mwanamke kisha unamkataa au unamwambia akaitoe, au au au auuuu.
Una maanisha ushoga wenyewe sio laana? naona kama sijakuelewa vile!
 
Kama wewe ulilazimishwa kua shoga basi pole yako pengine ni tamaa zako za kimwili na kifedha hadi ukatumbukia huko, nani alaumiwe??
Mimi ni lesbian yes lakini sijawahi kukaa chini na kuanza kumsema mtu asiyekua Lesby, sasa nawashangaa nyie kutwa kuwazungumzia wenzenu, umaskini wako unatafuta wa kumtulia hahahaha eti utatumaliza my ribs [emoji23][emoji23] hebu anza na mimi kwanza naona una hamu ya kuokota sabuni.

Pole sana.

Ujumbe wangu umeupata.
 
Wengi ni kutokana na kuwa abused kwa muda mrefu inakuwa tabia.
Sababu zipo nyingi wengine ni tamaa ya pesa na vitu vizuri.
Wengine wanafanya kwa sababu walishatendwa na wasichana akaamua kuwachukia moja kwa moja.
Wengine gay porn.
Wengine walikosa female company akajikuta anafanya tu ( situational gays) .
Nk.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko hapa Dar kibiashara tangu Jumamosi (nimekuja kuuza vumbi la Kongo maana nimeona biashara ya majeneza peke yake ntakufa na njaa)
Sasa jana nikiwa ndani ya bar moja mitaa ya Makumbusho mida ya saa mbili hivi usiku niko na jamaa zangu tunakula tungi ghafla kuliibuka ubishani meza ya jirani kulikuwa na jamaa flani mmoja namjua huwa ni bongo movie sasa walikuwa wanabishana kuhusu watu maarufu wanaotafunwa (mashoga)
Ubishani huo uliibuka baada ya wadau hao kudai kuwa yule msanii kijana machachari wa muziki wa injili ambaye anafahamika
kama "Nzuri bahati" (nimetumia code)
Eti huyu kijana naye yumo kwenye skendo ya kubanduliwa.!
Ukweli hata mimi sikuamini kabisa maana binafsi nyimbo za huyu kijana huwa zinanibariki sana sasa leo mtu aseme eti huyu kijana naye ni "biriani"
Ukweli mpaka sasa siamini kabisa!
Sasa humu najua kuna watu tofauti na pengine wapo waliowahi kusikia hii kitu je ni kweli hizi habari? wazee wa codes na mji mzito..
Cc Warumi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hauwezi kushindana ooh kushindana na Wanadamu wenye kinywa.
hayayayayayaa... [emoji443][emoji444][emoji346][emoji344][emoji345][emoji441][emoji445]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom