INRI
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 1,324
- 2,319
Harris ka...I..piga mumemtenga?kwa makanisa ya kipentekoste hajawa na mafundisho ya ushoga ni kinyume na maandiko matakatifu, ikitokea kuna mchungaji yuko hivyo atafukuzwa kanisani akafie mbali. makanisa ya kiroho hayakai na washirika watenda dhambi kila mara. kutubu ni mara moja tu. mzinzi, muasherati na mlawiti hawawezi kustahimili kusali katika makanisa haya. wenyewe tu wanayaogopa kwa kuwa yanaanika dhambi hizo waziwazi na kuwafukuza watenda matendo hayo maovu
Sent using Jamii Forums mobile app