Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

uhalisia---sio kama hutafika lkn usalama wa gari yako kwa kwenda km /miles nyingi bila kupumzisha engine hilo ndo tatizo.nadhani hata vitu vyote vikiwa fine mfano coolant,water in radiator,oil nk nk baada ya distance dash board indicator ya heat itakuwa high
Nikufunhue macho ! Coolant no mbadala was maji, zamani maji yalikuwa yakitumika kwenye radiator ! Lakini yanasababisha kutu sana, mbadala wake ikaletwa coolant, yenyewe inachukua nafasi ya maji, na imewekewa chemicals ambazo zinachelewa kupata koto, na zinawai kupoa....

Pili ! Kwenye engine ya gari zote za kisasa, zina kifaa kinaitwa Thermostat, hii itawasha feni ya kupooza coolant kwenye radiator, ikigundua koto LA engine limepanda... Kwahiyo ukiona taa ya gari yako ya Heat imewaka jua , kunauwezekano was thermostat yako imekufa au unataka kufa..! Gari hambayo inaweza is I imili vishindo no gari yenye Cc Chini ya 1000. Hawa wakina Ist , baadhi ya Paso, Sienta, ractis, wao no kuanzia Cc1350. Wanapiga safari hizi bila hofu kabisha ! CHA MSINGI ,FANYA SERVICES KABLA UJAANZA SAFARI.

SERVICE IWE YA MAMBO YAFUATAYO..
1.BADILISHA OIL ZOTE, YA ENGINE NA YA TRANSMISSION..
2. CHEKI UBORA WA TAIRI ZAKO, UPEPO SAHIHI, NA UFANYE ALIGNMENT
3. AKIKISHA UNA TAIR YA SPAIR, SIO VILE VITAIRI VYA NJANO, ZILE SIO SPAIR, NI TEMPORARY TIRES...
4.EBUKA KUBEBA MIZIGO ISIYO NA TIJA..!
5. USIWEKE VITU JUU YA GARI, EPUKA KUFUNGA MIZIGO JUU YA CARRIER KWA WALE MNAO ZIFAHAMU, ZINAFANYA ENGINE ITUMIE NGUVU NYINGI KUSUKUMA GARI, MLIO SOMA PHYSICS MTAKUWA MMENIPATA , ITAPUNGUZA DRAG FORCE..! WEKA MIZIGO NDANI YA GARI.!
6. PATA MDA WA KUTOSHA WA KUPUMZIKA, UNAWAI WAPI NA UKO NA PRIVATE CAR, UKIFIKA MCHANA SIMAMA MAHALI PATA LUNCH
7. KWA SISI TUNAPENDA SAFARI, KUWA MAKINI SANA NA SAFARI ZA USIKU, WAPO WENDAWAZIMU WASIOJUA KUTUMIA VIZURI TAA NYAKATI ZA USIKU.
8. USISAHAU KUFUATA SHERIA ZA BARABARA.
9. BARABARA IKIRUHUSU FUNGUKA KADRI UWEZAVYO....!!
 
Nimeitumia IST kwa safari nyingi tu, toka moshi to Iringa , Dar to moshi, Dar to Arusha.... IST ni bomba
 
Ni muda gani sahihi wa kufanyia service gari yako baada ya km ngapi? Hasa RAV 4 KILLI TIME?
 
Inatoboa vizuri tu nakupa mfano wa ruti iliyotoboa bila matatzo..

Geita-Moshi kupitia Shinyanga

Dar-Shinyanga kulala dodoma

Geita-Shinyanga vijijini kupitia Nyang'wale
 
Nakutumia msg PM haujibu mkuu, je MARK II GRAND kwa safari za mikoani vp ???
Hizo gari nikiziona udenda unatoka hasa gx 110 mwaka jana mwezi wa 11 nilienda nayo lakini alikuwa anaendesha bro kulikuwa kuna mtu anapelekewa tumetoka Dar saa 12 asubuhi saa 11 tupo Songea kupitia lindi ndugu sijajua kama kuna toyota hizi ndogo kama alteza,ti,spacio zinakimbia kama hiyo tulipumzika sehemu mbili tu kwa ajili ya kula nangurukuru na Masasi........gx 110 shida kama ndege
 
Inafika kabisa bila tatizo lolote. Mimi nilitoka nayo Dar mpaka bukoba. Nilipumzika nyakanazi kwa kuwa ilikuwa usiku. Siku ya kurudi nilirudi moja kwa moja mpaka Dar bila tatizo lolote bila kupumzika
 
Jupange kuziona piston zikitokea kwenye bonet
Acha kumtisha jamaa. IST gari nzuri sana mkuu, cha kuzingatia gari yeyote ndogo usiende moja kwa moja pumzika Singida kama ulivyoshauriwa.
 
Inafika kabisa bila tatizo lolote. Mimi nilitoka nayo Dar mpaka bukoba. Nilipumzika nyakanazi kwa kuwa ilikuwa usiku. Siku ya kurudi nilirudi moja kwa moja mpaka Dar bila tatizo lolote bila kupumzika
ulitoboa bukoba hadi dar kwa IST bila kupumzika?? mm ntakua wa mwisho kuamini huu uongo[emoji12]
 
Kusafiri na IST inawezekana ila utaona tofauti kibwa sana kati ya IST na Crown,Brevis, zitakazokua zinakupita huko njiani kama vile umesimama..usifanye mchezo 1290 - 1490 CC na 2490 CC
 
Kusafiri na IST inawezekana ila utaona tofauti kibwa sana kati ya IST na Crown,Brevis, zitakazokua zinakupita huko njiani kama vile umesimama..usifanye mchezo 1290 - 1490 CC na 2490 CC
Cc has northing to do with performance ya vehicle..VW amarock ina cc 2000 lakini V8 yenye cc 4500 ikasome namba na kupitwa kama imesimama..
 
Ivi wadau which to buy kati ya mark ii glande au altezza..for performance and confortability..
 
Ist lita moja inakwenda kuanzia km 16 hadi km 22 kulingana na service ya gari au ukiwasha ac. Na pia kama unaikanyagia sana ili achanganye mapema. Mark II grand inatumia lita 1 kwa km 9 mpaka km11. Kulingana na maelezo niliyotoa hapo juu.
Vp RV4 milango 5 Old model ulaji wake wafuta ukoje?
 
Cc has northing to do with performance ya vehicle..VW amarock ina cc 2000 lakini V8 yenye cc 4500 ikasome namba na kupitwa kama imesimama..
Mkuu nadhani itakua unajidanganya na hauzijui ligi za barabarani CC has everything to do with vehicles performance the lower the CC the less horsepower and torque the vehicle produces exception lies with after market modifications...huwezi fananisha 2000CC ya Amarok na 4500CC ya Land Cruiser V8
 
Mkuu nadhani itakua unajidanganya na hauzijui ligi za barabarani CC has everything to do with vehicles performance the lower the CC the less horsepower and torque the vehicle produces exception lies with after market modifications...huwezi fananisha 2000CC ya Amarok na 4500CC ya Land Cruiser V8[/QUOTE
]
Lkn mkuu mbona mimi nilikua na mazda ya 2005 rx 8 cc 1300 na ni stock,horsepower inatoa zaidi ya 200 lkn hao altezza,forester,mark 2 grand,verossa nilikua nawakalisha barabarani vzr kabisaa.

Though pia kulinganisha Amarok na ma V8 ni kutozitendea haki V8.
 
Mkuu nadhani itakua unajidanganya na hauzijui ligi za barabarani CC has everything to do with vehicles performance the lower the CC the less horsepower and torque the vehicle produces exception lies with after market modifications...huwezi fananisha 2000CC ya Amarok na 4500CC ya Land Cruiser V8
Ata ww bas hujui..nadhani huna experience ya haya mambo..the lower the cc the lower the horse power?? Ilo umelipata wapi boss[emoji1] ..ingia kwenye madesa tena mkuu..alaf jaribu angalia cc za amarok na cc v8 ni kama nilivyotaja pale ila horsepower zinaendana..only horsepower has to do with performance n not cc..
Na uliza madereva wa v8 kuwa vw amarock inawafanya nini njiani yenye cc 2000 tu..
 
Back
Top Bottom