Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Atake asitake mama tutamlazimisha ,Mbona JIWE msukuma mwenzenu hamkupinga hizo kauli? "SSH MIKUMI TENA".
Kwani wakati ule mungu wenu magufuli anaambiwa atake asitake mbona hukuja na swali hili ?
Mzushi wewe!Kama ulipinga tangu enzi za JIWE basi kwa hapa huko sahihi.
Nimekupata mkuu ndio maana sikutaka kukupinga.Kwa ajili ya kumbukumbu: Magufuli hatojiongezea muda
Ok, so, me being me. The independent minded guy that I am. Native citizen of Realville. That straight shooter that I am. I am no shrinking violet when it comes to expressing my views. So I’m going to go out on a limb today and say it. If this means I’ll have to eat crow a couple years from now...www.jamiiforums.com
Basi uache kuropoka kama hayawani kwa kutoa kauli kana kwamba unajua au una uhakika wa unachokiongelea!Nimekupata mkuu ndio maana sikutaka kukupinga.
Sawa Mkuu Nimekupata!Basi uache kuropoka kama hayawani kwa kutoa kauli kana kwamba unajua au una uhakika wa unachokiongelea!
Magufuli mimi nimempinga kwa mengi tu humu.
Facts!
Tofauti ni kuwa moja ni cc 2000 to 2500cc na nyingine ni zaidi ya cc2501 . Hii tofauti kwa Import duty huongoza gharama ya uingizaji na maana hiyo gharama zote hubadilika. Labda uwe na maana nyingine.Inafurahisha kwakweli hii ndio Tanzania tunayoitaka. Gari sio anasa,gari ni chombo muhimu kurahisisha shughuli za kiuchumi. Naomba na marekebisho mengine kwenye kodi yawe hivi hivi.
Hii ni Ford Ranger kabla ya mwezi March
View attachment 1752100
Mabadiliko kidogo yalifanyika lakini yana unafuu mkubwa. Hii hapa chini ni leoView attachment 1752101View attachment 1752102
Tofauti karibu Mil15 yote dah. Mama SSH asante sana. Sasa na mimi ntamiliki gari
Akili zenu ni ndogo sana, hizo cif za kwanza ni za kinyonyaji zilizopangwa na marehemu dikiteta magufuli, maza kaamua kushusha cif ili wanyonge tuvute ndinga za maana, cif sio bei za soko ni mabei ya tra hayo, mfano maza kashusha cif kutoka dola elf26 hadi elf 13, maana yake hata kama hiyo gari utanunua dola elf4 kikotoo cha tra kinaitambua ina thamani ya dola elf13 na tozo zake zitabase humohumo.Na miaka imetofautiana
Yaaani sijui watu mnachobisha ni nini wakuu.Tofauti ni kuwa moja ni cc 2000 to 2500cc na nyingine ni zaidi ya cc2501 . Hii tofauti kwa Import duty huongoza gharama ya uingizaji na maana hiyo gharama zote hubadilika. Labda uwe na maana nyingine.
Yaaani watu in wabishi hata kwa wasioyajua(kuyaelewa) ili mradi aonekane kachangia tuKwa akili zako ndogo hujui hiyo cif imepangwa na tra sio bei ya soko, sokoni hilo gari unaweza kupata hata kwa dola elf 6 au bure kabisa, lkn ukiifikisha bongo tra watakupigia kwa cif hiyo waliyobuni wao!!
Hawa hawa mazwazwa walikua wanampigia debe Meko aongoze bila ukomo, Sijui akili zao saa zingine huwa wanazikodishaga wapi tu..Kwa nini?
Ni kwamba kati ya Watanzania takriban milioni 60, ni yeye tu mwenye kuiweza hiyo kazi mpaka alazimishwe kuifanya hata kama hataki?
Fikra dhaifu sana hizo katika karne hii ya 21!
Mabumunda ya SamiaWale wa Magu wanaitwa mataga hawa wa sasa tuwaiteje maana tofauti yenu ni majina tu akili ni walewale
Si kweli, umri wa gari pia hitofautisha bei.Gari aina moja. Kinachotozwa kodi ni Aina ya gari mkuu(nadhani) na pia kodi ya uchakavu(miaka 10) kwa hiyo hizi zote ziko kundi moja(ilipaswa kodi moja)
Ipi inakua na bei kubwa?? Kati ya 2018 na 2017???Si kweli, umri wa gari pia hitofautisha bei.
2017
Nyani bwana.Kwa nini?
Ni kwamba kati ya Watanzania takriban milioni 60, ni yeye tu mwenye kuiweza hiyo kazi mpaka alazimishwe kuifanya hata kama hataki?
Fikra dhaifu sana hizo katika karne hii ya 21!
Kwa nini?
Ni kwamba kati ya Watanzania takriban milioni 60, ni yeye tu mwenye kuiweza hiyo kazi mpaka alazimishwe kuifanya hata kama hataki?
Fikra dhaifu sana hizo katika karne hii ya 21!