Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuu na usihamishe magoli. Nadhani umeelewa alichoelezea huyo jamaa
Ninachojadili ni hayo "makadirio" ya CIF twende sawa kwenye hilo
Wewe ukinunua Ford Ranger kwa Mil 100 ukalipa kodi kwa hesabu ya mil100 kwani kuna shida gani???
Tatizo ni pale Ford Ranger ya $12,000 ilipokua unalazimikq kulipa kodi kwa kutumia kigezo chao cha thamani ya $26,000 nadhani unanisoma mkuu
Hicho kitendo cha kupunguza CIF provisional kutoka 26,000 mpaka 13,000 ndio nilichokisifia/kuuliza kama wamesikia kilio chetu
Kuna risiti(invoice) unayopewa nje ukishanunua gari ni lazima ihusike wakati wa kukadiriwa kulipa kodi hiyo ndo watakayoitumia, actually zamani ilikua ni hiyo tu kulikua hakuna mambo ya kukadiria thamani ila janja janja zikawa nyingi ndo wakaanza kuweka kiwango maalum kwa kila aina ya gari. Kwahiyo risiti yako ikiwa chini wanachukua ile ya kwao ila kiwango kikubwa juu wanatumia risiti yakoMkuu, example! Nimenunua gari nje la bei ya milioni 5, je! Katika makadirio yao watajuaje gari langu nimelinunua mil 5.
Kuna risiti(invoice) unayopewa nje ukishanunua gari ni lazima ihusike wakati wa kukadiriwa kulipa kodi hiyo ndo watakayoitumia, actually zamani ilikua ni hiyo tu kulikua hakuna mambo ya kukadiria thamani ila janja janja zikawa nyingi ndo wakaanza kuweka kiwango maalum kwa kila aina ya gari. Kwahiyo risiti yako ikiwa chini wanachukua ile ya kwao ila kiwango kikubwa juu wanatumia risiti yako
Na kimsingi ni kwamba kwa sasa hivi karibia wote lazima wanakuja na invoice ambayo inafanana na kiwango walichoweka TRA(sijui magumashi??) Tena haswa kwa gari used. Gari mpya nyingi bei ni fixed ila hizi gari used unaweza unafanya hata negotiations unakonunua kwahiyo itakua ni mjinga TRA waweke gari yako inalipiwa kodi mil 30 halafu ww ukaja na invoice inayokulazimu ulipe kodi mil 70😂😂
Nilidhani nimeona hii peke yangu....vile vile la kwanza ni mwaka 2017 na la pili 2018,reference # pia hazifanani hii inadhihirisha kuwa ni magari 2 tofauti.Mkuu hayo ni magari mawili tofauti unalinganisha. LA Kwanza ni CC chini ya 2500 na la pili ni CC 2500& above ndio maana umeona imepungua.
Rudia tena kupiga hesabu lile la below 2500CC uone Kama imepungua kitu
Nimeambiwa hapa na mdau kuwa wamepunguza kwa Ford tu...CIFView attachment 1752890Kodi ipo palepale
Hiyo BMW X3 ya mwaka 2017 Kodi ni mil 100
Narudia tena.Nilidhani nimeona hii peke yangu....vile vile la kwanza ni mwaka 2017 na la pili 2018,reference # pia hazifanani hii inadhihirisha kuwa ni magari 2 tofauti.
Hamnaga hiyo gari ya zamani ina gharama nafuu kuliko ya hivi karibuni kwenye kodi hapa Tz. Kajaribu kupata kodi ya ist ya 2006 na 2019+ uone kodi inavopanda. Huo msemo wa skrepa umeishia kwenye maandishi tuMzee umebebwa na Year of manufacture otherwise ungekula kodi kwa kutuletea scrapers nchini.
😂😂😂😂nimevumilia kucheka nimeshindwaMaza Atake asitake lazima aongezewe, akikataa alazimishwe yule. Suluhu mikumi tena.
Kwan CIF ya TRA inaangalia umechukua gari ipi....?! Wao wameweka flat rate kwa gari zote.... Ukinunua bei ya chini wanachukua price yao, Ukinunua bei ya juu wanachukua hiyo yako ya juu wanaacha ile yao ya chini.Mjomba nawe kumbe umetuingiza chaka.. Ni gari mbili tofauti..
"Natengua kauli" zangu zoote hapo juu[emoji23]
Mmmmmmhmn hivi unataka nambia rates za kodi zina change, me nimechunguza naona same price for a particular model ya gari.mbona kama hayo ni magari tofauti
[emoji95]moja manufactured 2017 nyingine 2018
[emoji95]moja cc < 2500 nyingine cc > 2500
[emoji95]CIF zao hazifanani
kwahiyo sitegemei zikawa na kodi sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Si unalipa kwa njia ya benki?! Taarifa zako zinakuwapo wanaona kule TRA.Mkuu, example! Nimenunua gari nje la bei ya milioni 5, je! Katika makadirio yao watajuaje gari langu nimelinunua mil 5.
We gari ya mwaka2017 unadhani ni mchezo mchezo mzee eti?!View attachment 1752890Kodi ipo palepale
Hiyo BMW X3 ya mwaka 2017 Kodi ni mil 100
Ngoja tuichangamkie mapema Ford kabla hawajabadili gear anganiNimeambiwa hapa na mdau kuwa wamepunguza kwa Ford tu...CIF
Sijapata uhakika wa magari mengine mkuu. Bado nafanya utafiti na ndomaana nimeuliza hapa
Mda uliowekwa kikatiba ni upi kwa muktadha wa Mama SamiaSitaki aongoze nje ya muda uliowekwa kikatiba.
Its not rocket science.
Kwa vile sijaona ushahidi wa kuwa hizo Ford mbili , yaani ile ya 26k na ile 13k ni identical, nashindwa kukubali hiyo theory ya "kubambikizwa" Ingawa ninajua kabisa kuwa maafisa wetu wa TRA ni corrupt sana, process zao za corruption huwa haziwekwi kwenye makaratasi ya serikali kama haya. Halafu hayo makadirio yanayotolewa na TRA hayapangwi na rais!Ni kweli mkuu na usihamishe magoli. Nadhani umeelewa alichoelezea huyo jamaa
Ninachojadili ni hayo "makadirio" ya CIF twende sawa kwenye hilo
Wewe ukinunua Ford Ranger kwa Mil 100 ukalipa kodi kwa hesabu ya mil100 kwani kuna shida gani???
Tatizo ni pale Ford Ranger ya $12,000 ilipokua unalazimikq kulipa kodi kwa kutumia kigezo chao cha thamani ya $26,000 nadhani unanisoma mkuu
Hicho kitendo cha kupunguza CIF provisional kutoka 26,000 mpaka 13,000 ndio nilichokisifia/kuuliza kama wamesikia kilio chetu
Mimi sijaona tofauti labda naangalia kikokoto tofautiInafurahisha kwakweli hii ndio Tanzania tunayoitaka. Gari sio anasa,gari ni chombo muhimu kurahisisha shughuli za kiuchumi. Naomba na marekebisho mengine kwenye kodi yawe hivi hivi.
Hii ni Ford Ranger kabla ya mwezi March.
View attachment 1752100
Mabadiliko kidogo yalifanyika lakini yana unafuu mkubwa. Hii hapa chini ni leoView attachment 1752101View attachment 1752102
Tofauti karibu Mil15 yote dah. Mama SSH asante sana. Sasa na mimi ntamiliki gari
Hata mie nimeangalia hakuna tofauti hata kidogoMimi sijaona tofauti labda naangalia kikokoto tofauti
This is so abecedarian. Unless of course if you are a wildebeest 🤣.Mda uliowekwa kikatiba ni upi kwa muktadha wa Mama Samia