Je, TRA wamesikia kilio chetu cha Ushuru wa kuingiza magari?

Je, TRA wamesikia kilio chetu cha Ushuru wa kuingiza magari?

Hapa ngoja nijipange niagize MASERATI. mama 30 kabisa tunakupa
 
Ni kweli mkuu na usihamishe magoli. Nadhani umeelewa alichoelezea huyo jamaa

Ninachojadili ni hayo "makadirio" ya CIF twende sawa kwenye hilo

Wewe ukinunua Ford Ranger kwa Mil 100 ukalipa kodi kwa hesabu ya mil100 kwani kuna shida gani???

Tatizo ni pale Ford Ranger ya $12,000 ilipokua unalazimikq kulipa kodi kwa kutumia kigezo chao cha thamani ya $26,000 nadhani unanisoma mkuu

Hicho kitendo cha kupunguza CIF provisional kutoka 26,000 mpaka 13,000 ndio nilichokisifia/kuuliza kama wamesikia kilio chetu

Mkuu, example! Nimenunua gari nje la bei ya milioni 5, je! Katika makadirio yao watajuaje gari langu nimelinunua mil 5.
 
Mkuu, example! Nimenunua gari nje la bei ya milioni 5, je! Katika makadirio yao watajuaje gari langu nimelinunua mil 5.
Kuna risiti(invoice) unayopewa nje ukishanunua gari ni lazima ihusike wakati wa kukadiriwa kulipa kodi hiyo ndo watakayoitumia, actually zamani ilikua ni hiyo tu kulikua hakuna mambo ya kukadiria thamani ila janja janja zikawa nyingi ndo wakaanza kuweka kiwango maalum kwa kila aina ya gari. Kwahiyo risiti yako ikiwa chini wanachukua ile ya kwao ila kiwango kikubwa juu wanatumia risiti yako

Na kimsingi ni kwamba kwa sasa hivi karibia wote lazima wanakuja na invoice ambayo inafanana na kiwango walichoweka TRA(sijui magumashi??) Tena haswa kwa gari used. Gari mpya nyingi bei ni fixed ila hizi gari used unaweza unafanya hata negotiations unakonunua kwahiyo itakua ni mjinga TRA waweke gari yako inalipiwa kodi mil 30 halafu ww ukaja na invoice inayokulazimu ulipe kodi mil 70😂😂
 
Ha haa nimekuelewa mkuu GeoMex asante sana
 
Screenshot_20210415-172139.png
Kodi ipo palepale
Hiyo BMW X3 ya mwaka 2017 Kodi ni mil 100
 
Mkuu hayo ni magari mawili tofauti unalinganisha. LA Kwanza ni CC chini ya 2500 na la pili ni CC 2500& above ndio maana umeona imepungua.
Rudia tena kupiga hesabu lile la below 2500CC uone Kama imepungua kitu
Nilidhani nimeona hii peke yangu....vile vile la kwanza ni mwaka 2017 na la pili 2018,reference # pia hazifanani hii inadhihirisha kuwa ni magari 2 tofauti.
 
Nilidhani nimeona hii peke yangu....vile vile la kwanza ni mwaka 2017 na la pili 2018,reference # pia hazifanani hii inadhihirisha kuwa ni magari 2 tofauti.
Narudia tena.

Niliweka hivyo nikidhani kwamba watu wengi wanaelewa calculator inavyofanya kazi. Ila baada ya mjadala nikapiga hesabu upya kwa gari yenye parameters kama ile ya mwanzoni. Pitia komenti yangu #60

Shukran
 
Mzee umebebwa na Year of manufacture otherwise ungekula kodi kwa kutuletea scrapers nchini.
Hamnaga hiyo gari ya zamani ina gharama nafuu kuliko ya hivi karibuni kwenye kodi hapa Tz. Kajaribu kupata kodi ya ist ya 2006 na 2019+ uone kodi inavopanda. Huo msemo wa skrepa umeishia kwenye maandishi tu
 
Mjomba nawe kumbe umetuingiza chaka.. Ni gari mbili tofauti..

"Natengua kauli" zangu zoote hapo juu[emoji23]
Kwan CIF ya TRA inaangalia umechukua gari ipi....?! Wao wameweka flat rate kwa gari zote.... Ukinunua bei ya chini wanachukua price yao, Ukinunua bei ya juu wanachukua hiyo yako ya juu wanaacha ile yao ya chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona kama hayo ni magari tofauti
[emoji95]moja manufactured 2017 nyingine 2018
[emoji95]moja cc < 2500 nyingine cc > 2500
[emoji95]CIF zao hazifanani
kwahiyo sitegemei zikawa na kodi sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmmmhmn hivi unataka nambia rates za kodi zina change, me nimechunguza naona same price for a particular model ya gari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeambiwa hapa na mdau kuwa wamepunguza kwa Ford tu...CIF

Sijapata uhakika wa magari mengine mkuu. Bado nafanya utafiti na ndomaana nimeuliza hapa
Ngoja tuichangamkie mapema Ford kabla hawajabadili gear angani
 
Ni kweli mkuu na usihamishe magoli. Nadhani umeelewa alichoelezea huyo jamaa

Ninachojadili ni hayo "makadirio" ya CIF twende sawa kwenye hilo

Wewe ukinunua Ford Ranger kwa Mil 100 ukalipa kodi kwa hesabu ya mil100 kwani kuna shida gani???

Tatizo ni pale Ford Ranger ya $12,000 ilipokua unalazimikq kulipa kodi kwa kutumia kigezo chao cha thamani ya $26,000 nadhani unanisoma mkuu

Hicho kitendo cha kupunguza CIF provisional kutoka 26,000 mpaka 13,000 ndio nilichokisifia/kuuliza kama wamesikia kilio chetu
Kwa vile sijaona ushahidi wa kuwa hizo Ford mbili , yaani ile ya 26k na ile 13k ni identical, nashindwa kukubali hiyo theory ya "kubambikizwa" Ingawa ninajua kabisa kuwa maafisa wetu wa TRA ni corrupt sana, process zao za corruption huwa haziwekwi kwenye makaratasi ya serikali kama haya. Halafu hayo makadirio yanayotolewa na TRA hayapangwi na rais!
 
Inafurahisha kwakweli hii ndio Tanzania tunayoitaka. Gari sio anasa,gari ni chombo muhimu kurahisisha shughuli za kiuchumi. Naomba na marekebisho mengine kwenye kodi yawe hivi hivi.

Hii ni Ford Ranger kabla ya mwezi March.

View attachment 1752100

Mabadiliko kidogo yalifanyika lakini yana unafuu mkubwa. Hii hapa chini ni leoView attachment 1752101View attachment 1752102
Tofauti karibu Mil15 yote dah. Mama SSH asante sana. Sasa na mimi ntamiliki gari​
Mimi sijaona tofauti labda naangalia kikokoto tofauti
 
Mda uliowekwa kikatiba ni upi kwa muktadha wa Mama Samia
This is so abecedarian. Unless of course if you are a wildebeest 🤣.

Ni hivi, akimaliza muhula huu, anaruhusiwa kugombea tena 2025.

Akiamua kugombea tena hiyo 2025 na endapo atashinda, basi urais wake utakoma 2030 na kikatiba hatoruhusiwa tena kuwa Rais.

Kuna ugumu katika kuelewa hilo?
 
Back
Top Bottom