Je tuamini katika busara za Mwenyekiti Mbowe au tuamini katika ujasiri na misingi thabiti anayo amini Tundu lissu?

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Habari Jf , ujasiri,upambanaji , uzalendo na uwepo wa mwanasiasa Tundu lissu unafanya wapenda mabadiliko kuanza kufikiria sana utendaji kazi wa Mbowe hasa ukichukulia ni Zaidi ya miaka yuko madarakani.

Kuna tunaoamini hatuwezi kuitoa CCM madarakani kwa Busara na utendaji kazi wa Mzee Mbowe lakini kuna wanaoamini CHADEMA bila Mbowe kwa miaka 20 hii tungekuwa tushapotea .

Je tuendelee kuamini katika utawala wa Mwenyekiti mbowe au tumuamini lissu atatufikisha Nchi ya Ahadi ?

ANGALIZO
Busara siku zote hutoa suluhisho ama hupelekea kupatikana kwa shuluhisho la jambo mtambuka.

Bila hivyo, Busara inakuwa haina tija
 
Siasa za Lissu ni confrotational haziwezi kudumu..na hivyo mtu anayeamini kwa mrengo huo asipopata wafuasi wanaofanana nae unakuwa ndio mwisho wa chochote anachofanya, kwa maana hiyo hawezi kuwa Mwenyekiti wa chama akafanikiwa sababu hao wafuasi wa kufanana nae sio tu CHADEMA hata kwa nchi nzima ni km hawapo, km wapo ni wachache sana..la pili kuwa Mwenyekiti wa chama cha siasa cha upinzani Tanzania si tu kujua kuongea na kuwa na elimu..inahitaji kujitoa sana kwa rasilimali zako mwenyewe pale inahitajika, mkionyesha hata chumba cha darasa moja tu alichojenga Lissu jimboni kwake wakati akiwa mbunge..niko tayari kufuta huu uzi..Lissu hana sifa ya kuchangia maendeleo kwa kutoa rasilimali toka mfukoni kwake, na kuwa Mwenyekiti wa chama upinzani ni kuwa MLEZI pia..hii sifa Lissu hana! Conclusion..pengine atafaa siku za usoni Mungu akimjalia afya! lkn si kwa sasa..!
kuna jambo jingine CHADEMA wanapaswa kufahamu na nadhani wanafahamu lkn wanachukulia poa..kuna kundi kubwa sana la vijana ndani ya chama ni mamluki..lengo lao ni kuleta fujo kuvuruga MAAMUZI..chama kijihadhari sana na maamuzi yanashinikizwa na vijana..lugha za jazba, ushabiki km wa ccm, matusi, kejeli na dharau na fujo zingine, mkiwafahamu watu hawa dawa ni kutojali sana wanachosema..bahati mbaya hawa ndio wanamsapoti Lissu agombee uenyekiti taifa, kwangu mimi bora kubaki 5 ndani ya chama kuliko kuwa na kundi la vijana 1,000 wa aina ya waliopo CHADEMA kwa sasa.
 
Habari Jf , ujasiri,upambanaji , uzalendo na uwepo wa mwanasiasa Tundu lissu unafanya wapenda mabadiliko kuanza kufikiria sana utendaji kazi wa Mbowe hasa ukichukulia ni Zaidi ya miaka yuko madarakani.

Kuna tunaoamini hatuwezi kuitoa CCM madarakani kwa Busara na utendaji kazi wa Mzee Mbowe lakini kuna wanaoamini CHADEMA bila Mbowe kwa miaka 20 hii tungekuwa tushapotea .

Je tuendelee kuamini katika utawala wa Mwenyekiti mbowe au tumuamini lissu atatufikisha Nchi ya Ahadi ?

View attachment 3175603
Bora chama chenu kikatike.Mbowe naye anatangaza kugombea lini?
 
Habari Jf , ujasiri,upambanaji , uzalendo na uwepo wa mwanasiasa Tundu lissu unafanya wapenda mabadiliko kuanza kufikiria sana utendaji kazi wa Mbowe hasa ukichukulia ni Zaidi ya miaka yuko madarakani.

Kuna tunaoamini hatuwezi kuitoa CCM madarakani kwa Busara na utendaji kazi wa Mzee Mbowe lakini kuna wanaoamini CHADEMA bila Mbowe kwa miaka 20 hii tungekuwa tushapotea .

Je tuendelee kuamini katika utawala wa Mwenyekiti mbowe au tumuamini lissu atatufikisha Nchi ya Ahadi ?

View attachment 3175603
Busara za Mwenyekiti Mbowe ndio zimeiweka Chadema hadi leo ama sivyo ingekuisha futika kwenye daftari la vyama vya siasa.
 
Siasa za Lissu ni confrotational haziwezi kudumu..na hivyo mtu anayeamini kwa mrengo huo asipopata wafuasi wanaofanana nae unakuwa ndio mwisho wa chochote anachofanya, kwa maana hiyo hawezi kuwa Mwenyekiti wa chama akafanikiwa sababu hao wafuasi wa kufanana nae sio tu CHADEMA hata kwa nchi nzima ni km hawapo, km wapo ni wachache sana..la pili kuwa Mwenyekiti wa chama cha siasa cha upinzani Tanzania si tu kujua kuongea na kuwa na elimu..inahitaji kujitoa sana kwa rasilimali zako mwenyewe pale inahitajika, mkionyesha hata chumba cha darasa moja tu alichojenga Lissu jimboni kwake wakati akiwa mbunge..niko tayari kufuta huu uzi..Lissu hana sifa ya kuchangia maendeleo kwa kutoa rasilimali toka mfukoni kwake, na kuwa Mwenyekiti wa chama upinzani ni kuwa MLEZI pia..hii sifa Lissu hana! Conclusion..pengine atafaa siku za usoni Mungu akimjalia afya! lkn si kwa sasa..!
kuna jambo jingine CHADEMA wanapaswa kufahamu na nadhani wanafahamu lkn wanachukulia poa..kuna kundi kubwa sana la vijana ndani ya chama ni mamluki..lengo lao ni kuleta fujo kuvuruga MAAMUZI..chama kijihadhari sana na maamuzi yanashinikizwa na vijana..lugha za jazba, ushabiki km wa ccm, matusi, kejeli na dharau na fujo zingine, mkiwafahamu watu hawa dawa ni kutojali sana wanachosema..bahati mbaya hawa ndio wanamsapoti Lissu agombee uenyekiti taifa, kwangu mimi bora kubaki 5 ndani ya chama kuliko kuwa na kundi la vijana 1,000 wa aina ya waliopo CHADEMA kwa sasa.
Mbowe amefanyia nini Taifa so far?
 
Mbowe amefanyia nini Taifa so far?
Ni mtoto mdogo ndio maana unauliza swali halina lazima kulijibu..anyway, vyama vya siasa vya upinzani vilisajiliwa vingapi wakati mfumo wa vyama vingi unaanza? vingapi vingali na nguvu ya kuitisha ccm..kinaongozwa na nani na kwa muda gani amekuwepo kwenye siasa..amelipa gharama gn ya maisha yake na familia yake..majibu yako yapo kwenye hayo maswali ukipenda kuyajibu vzr.
 
Ni muda wa Chadema kupata mwenyekiti mwenye mawazo chanya na tofauti.

CC haiwezi kuondolewa madarakani kwa busara pekee.
Kama ni uzalendo huyo ndio chaguo kwa Sasa na miaka ijayo.
 
CHADEMA inahitaji mtu kama Lisu na sio mbowe mtu wa kuuma na kupuliza.. Mbowe huku anawafurahisha wana chama na huku anaifurahisha CCM. Mbowe mchana CHADEMA usiku CCM. Anahitajika MTU wa kupambana na CCM Kama maadui hapo busara ni uendawazimu, CCM haijui Kucheka na mpinzani na anahitajika mtu asiyejua Kucheka na CCM.
 
Back
Top Bottom