Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Habari Jf , ujasiri,upambanaji , uzalendo na uwepo wa mwanasiasa Tundu lissu unafanya wapenda mabadiliko kuanza kufikiria sana utendaji kazi wa Mbowe hasa ukichukulia ni Zaidi ya miaka yuko madarakani.
Kuna tunaoamini hatuwezi kuitoa CCM madarakani kwa Busara na utendaji kazi wa Mzee Mbowe lakini kuna wanaoamini CHADEMA bila Mbowe kwa miaka 20 hii tungekuwa tushapotea .
Je tuendelee kuamini katika utawala wa Mwenyekiti mbowe au tumuamini lissu atatufikisha Nchi ya Ahadi ?