No dis-respect to shaka but leo hii mimi unipatie V8 (na mafuta full tank Bure), unipatie platform,nikienda mikoani na wilayani viongozi wote wanaacha shughuli zao wanakuja kunisikiliza mie,ikulu naingia Bila appointment,ziara za RAIS nachagua ipi niende, nikienda mikoani naandaliwa makazi na chakula Bure, alafu uone jinsi nitakavyofanya siasa na Kazi kama punda...hii nchi mtaniomba nichukue fomu nigombee urais ili niwaongoze Bila kikomo...kila mmoja wetu hapa (chawa na wapambe aside) achukue dakika chache afikirie jinsi anavyopambana kimaisha kwa mbinu zake mwenyewe, alafu afikirie scenario ya kupewa nyenzo na facilities kama anazopewa Shaka, jipime na utuambie who is the best kati yako na Shaka.