Je, tumfikirie Shaka kwenye nafasi ya juu? Huenda ndio kijana mwenye ushawishi zaidi Tanzania

Ndugu Shaka mwenezi wa chama chetu hakika Ni kiongozi wa mfano kwetu sisi vijana,Ni kiongozi mwenye busara hekima upendo, Hana majivuno Wala dharau, Ni kiongozi mnyenyekevu Sana, msikivu na mwenye Subira, mtafiti na mwenye huruma kwa wananchi wanyonge, Ni mtu mwenye kiu ya kuona watu wanapata haki zao bila kunyongwa na Hali zao

Ni mchapa kazi bila kuchoka, anatanguliza maslahi ya Taifa mbele, Ni kiongozi anayeshawishi kumsikiliza, licha ya cheo chake kikubwa lakini anafikika na kumsikiliza kila mtu, kwake cheo Ni dhamana na Cha kupita tu
 
S

Nailed
 
Huyu anafaa kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania au rais wa serikali ya mapinduzi zanziabar kwa miaka ijayo
 
Ofisi wanatumia wazee, washirikina, wapiga majungu na wezi, dunia ya sasa digital mambo mengi ni online.
Ndio maana hata nchi hatuwezi kufanya maana hamuwezi mkaijenga nchi hii, Ndio maana pia mmekosa ushawishii kwa watanzania kwa sasa
 
Upo sahihi lakini nafasi aliyopo shaka wapo ambao walipita na hawakufanya anayo yafanya hiyo inadhihirisha uwezo wake lakini ukisikiliza hotuba zake jamaa anajua kujenga hoja sio kusifia tyuu maboss wake
Nakubaliana na wewe...hii inaonesha ni kiasi gani viongozi wengi wa kisiasa wanavyopata fursa ya kuongoza but hawazitendei haki nafasi zao...inasikitisha sana.
 
Ndio maana hata nchi hatuwezi kufanya maana hamuwezi mkaijenga nchi hii, Ndio maana pia mmekosa ushawishii kwa watanzania kwa sasa

Ushawishi kwa sasa inabidi uwe na vyombo vya dola ili kushurutisha ushawishi. Na wakati huo huo kuhakikisha mwenye ushawishi kwa umma hapati nafasi hiyo. Na ikifika wakati wa uchaguzi, tume ya uchaguzi inatumika kuengua wapinzani, halafu vyombo vya dola vinaratibu wizi wa kura. Huo ndio ushawishi mlio nao kwa sasa.
 
Chadema imeshakwisha ndg yangu,
Kabisa mkuu kwa Sasa chadema imebaki Ni historia, haina ushawishii Tena, haina Sera Wala ajenda zenye mvuto kwa watu, mh Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa inayagusa maisha ya watu ndio maana anaungwa mkono na mamillion ya watanzania, sisi vijana tupo na mama na tunamuunga mkono
 
Lucas mwashambwa endelea hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom