View attachment 2327949
Wasalaam,
Hebu pitia video hizo zote then njoo u-comment,Huyu kijana naona anastahili nafasi ya juu hapo baadae, Je, Wewe unaonaje?
===
Tazama, huu ni usiku ila vijana wanagoma kumruhusu kijana huyu aondoke
View attachment 2327951
Tayari walishalamba asali wale,kwishneykwahio unataka kusema mpaka leo wale vijana wa ufipa hawana ushawishi
NailedNdugu Shaka mwenezi wa chama chetu hakika Ni kiongozi wa mfano kwetu sisi vijana,Ni kiongozi mwenye busara hekima upendo, Hana majivuno Wala dharau, Ni kiongozi mnyenyekevu Sana, msikivu na mwenye Subira, mtafiti na mwenye huruma kwa wananchi wanyonge, Ni mtu mwenye kiu ya kuona watu wanapata haki zao bila kunyongwa na Hali zao
Ni mchapa kazi bila kuchoka, anatanguliza maslahi ya Taifa mbele, Ni kiongozi anayeshawishi kumsikiliza, licha ya cheo chake kikubwa lakini anafikika na kumsikiliza kila mtu, kwake cheo Ni dhamana na Cha kupita tu
AiseeeeIshu ni investment vyama vya upinzani investment ndogo sana
Sure,Shaka anastahili hizo nafasi hapo baadaeHuyu anafaa kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania au rais wa serikali ya mapinduzi zanziabar kwa miaka ijayo
CHADOMO UNASHANGAA NINI?Aiseeee
Ndio maana hata nchi hatuwezi kufanya maana hamuwezi mkaijenga nchi hii, Ndio maana pia mmekosa ushawishii kwa watanzania kwa sasaOfisi wanatumia wazee, washirikina, wapiga majungu na wezi, dunia ya sasa digital mambo mengi ni online.
Nakubaliana na wewe...hii inaonesha ni kiasi gani viongozi wengi wa kisiasa wanavyopata fursa ya kuongoza but hawazitendei haki nafasi zao...inasikitisha sana.Upo sahihi lakini nafasi aliyopo shaka wapo ambao walipita na hawakufanya anayo yafanya hiyo inadhihirisha uwezo wake lakini ukisikiliza hotuba zake jamaa anajua kujenga hoja sio kusifia tyuu maboss wake
Ndio maana hata nchi hatuwezi kufanya maana hamuwezi mkaijenga nchi hii, Ndio maana pia mmekosa ushawishii kwa watanzania kwa sasa
Chadema imeshakwisha ndg yangu,Ndio maana hata nchi hatuwezi kufanya maana hamuwezi mkaijenga nchi hii, Ndio maana pia mmekosa ushawishii kwa watanzania kwa sasa
Shaka kaka chapa kazi,Tanzania inakuelewa sana ,View attachment 2327949
Wasalaam,
Hebu pitia video hizo zote then njoo u-comment,Huyu kijana naona anastahili nafasi ya juu hapo baadae, Je, Wewe unaonaje?
===
Tazama, huu ni usiku ila vijana wanagoma kumruhusu kijana huyu aondoke
View attachment 2327951
Kabisa mkuu kwa Sasa chadema imebaki Ni historia, haina ushawishii Tena, haina Sera Wala ajenda zenye mvuto kwa watu, mh Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa inayagusa maisha ya watu ndio maana anaungwa mkono na mamillion ya watanzania, sisi vijana tupo na mama na tunamuunga mkonoChadema imeshakwisha ndg yangu,
Huyu mjomba ni jembe kwelikweli,View attachment 2327949
Wasalaam,
Hebu pitia video hizo zote then njoo u-comment,Huyu kijana naona anastahili nafasi ya juu hapo baadae, Je, Wewe unaonaje?
===
Tazama, huu ni usiku ila vijana wanagoma kumruhusu kijana huyu aondoke
View attachment 2327951
SureFanya kazi acha maneno maneno
Lucas mwashambwa endelea hivyo hivyoKabisa mkuu kwa Sasa chadema imebaki Ni historia, haina ushawishii Tena, haina Sera Wala ajenda zenye mvuto kwa watu, mh Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa inayagusa maisha ya watu ndio maana anaungwa mkono na mamillion ya watanzania, sisi vijana tupo na mama na tunamuunga mkono
'Mwanangwa' huyo...!Tazama CCM ilivyo na mvuto kwa kijana,
View attachment 2327961View attachment 2327963View attachment 2327965View attachment 2327986
Vijana wengi wote wa kike na kiume, wanajipodoa sana na hata kujichubua ngozi zao ziwe nyororo ili wapate kuwa warembo zaidi. Ndio uenezi wenyewe wa sera za chama.Vijana wa CCM wote ni vijana wa hovyo tu.