figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Wakuu, Tundu Lissu alipofika Uwanja wa ndege, amehoji chanzo cha fedha kwa baadhi ya watu.
Je, haya maneno yanalenga Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe?
Sababu ndo huwa anasema ana biashara zake.
Kuna Kipindi Paul Makonda alishindwa kujua Mbowe anafanyabiasha gani hadi akahisi anafanya biashara za madawa ya kulevya.
Pia, soma:
Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...
Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa
Tundu Lissu amesema, "Ni muhimu tukajua, katika Mazingira ya Tanzania halisi hii, haya Mamilioni haya yanatokea wapi na ni salama kiasi gani? Kama mtu ana biashara Nchini au Nje ya Nchi, kuna biashara ambayo huwa haijulikani? Kuna Biashara isiyokuwa na TIN number, isiyokuwa na Leseni, isiyokuwa na jina isiyokuwa na Ofisi Mahali, isiyokuwa na Bank account? Ipo? Niambieni." Mwisho wa kumnukuu.Je, haya maneno yanalenga Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe?