Wakuu, Tundu Lissu alipofika Uwanja wa ndege, amehoji chanzo cha fedha kwa baadhi ya watu.
Your browser is not able to display this video.
Tundu Lissu amesema, "Ni muhimu tukajua, katika Mazingira ya Tanzania halisi hii, haya Mamilioni haya yanatokea wapi na ni salama kiasi gani? Kama mtu ana biashara Nchini au Nje ya Nchi, kuna biashara ambayo huwa haijulikani? Kuna Biashara isiyokuwa na TIN number, isiyokuwa na Leseni, isiyokuwa na jina isiyokuwa na Ofisi Mahali, isiyokuwa na Bank account? Ipo? Niambieni." Mwisho wa kumnukuu.
Je, haya maneno yanalenga Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe?
Sababu ndo huwa anasema ana biashara zake.
Kuna Kipindi Paul Makonda alishindwa kujua Mbowe anafanyabiasha gani hadi akahisi anafanya biashara za madawa ya kulevya.
Tundu Lissu amesema, "Ni muhimu tukajua, katika Mazingira ya Tanzania halisi hii, haya Mamilioni haya yanatokea wapi na ni salama kiasi gani? Kama mtu ana biashara Nchini au Nje ya Nchi, kuna biashara ambayo huwa haijulikani? Kuna Biashara isiyokuwa na TIN number, isiyokuwa na Leseni, isiyokuwa na jina isiyokuwa na Ofisi Mahali, isiyokuwa na Bank account? Ipo? Niambieni. "
Mwisho wa kumnukuu.

Hii imani yako itafakari sana.Kuna watu walishamshangilia shetani na Mungu akawasamehe,mzimu wa Magu au mungu Magu ungekuwa na nguvu ungejitetea.Hivi vitu tuviache tuamini ya Mungu ni mengi
Kauli za Lisu ni vyema ajitafakari,hata kama Mbowe kamtendea ubaya,asitake kuharibu mpaka maisha yake kisa uenyekiti wa Chadema.Sifa za leo sio za kesho hivi visasi vyake na yule mnyalu wajitafakari kuna kesho.Mbona Heche kaweka akiba ya maneno,unafkri Heche hajui mengi kuliko Lisu.Yaani utafkiri Mbowe aliku adui na Lisu tangu 2004 alipochukua Chama
kaondokoa nchini kabendera kaachia kitabu kikatawala jf, karudi nchini habari za kitabu zimekufa kana kwamba hazikuwepo na hata huyo waliomjali sana waliosema kapigwa risasi ikulu hawamkumbuki tena, sasa anatawala ( tundu lisu) tena jf, janjajanja yote ina mwisho, Januari 20 D.Trump anaapishwa mwisho wa biden na usanii woote, najua mtasema inatusuhu nini lkn wiki 2 zijazo kutatikisika na huu usanii wote utaisha …