imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Ili akija Club House nimuonye hiyo tabia.Nikishatoa wew utapata nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili akija Club House nimuonye hiyo tabia.Nikishatoa wew utapata nini?
Hapa amepuyanga kuhusu habar za biashara. Lissu kwa sasa anatapa tapa, atapoteza kuaminika na watu makini.Lissu ni muwazi sana sana.
Hilo halitawezekana sema jingine.Nasisitiza auchunge mdomo wake.
Mbona huna stara unaumri gani?Kajambe.
Kwani Lisu kataja wapi jina la Mbowe?Kumbe Mbowe Hotels hazina TIN number? Yale mashamba aliyoharibu Byakanwa na zile biashara lissu alizowahi kiri Magufuli alimharibia Mbowe kumbe ilikua uongo?
Miwili na nusuMbona huna stara unaumri gani?
Ni sahihi pia, kushauriwa na kufuata ushauri ni jambo lingine.Hilo halitawezekana sema jingine.
Mbowe angesoma alama za nyakati.Wakuu, Tundu Lissu alipofika Uwanja wa ndege, amehoji chanzo cha fedha kwa baadhi ya watu.
View attachment 3194290
Tundu Lissu amesema, "Ni muhimu tukajua, katika Mazingira ya Tanzania halisi hii, haya Mamilioni haya yanatokea wapi na ni salama kiasi gani? Kama mtu ana biashara Nchini au Nje ya Nchi, kuna biashara ambayo huwa haijulikani? Kuna Biashara isiyokuwa na TIN number, isiyokuwa na Leseni, isiyokuwa na jina isiyokuwa na Ofisi Mahali, isiyokuwa na Bank account? Ipo? Niambieni." Mwisho wa kumnukuu.
Je, haya maneno yanalenga Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe?
Sababu ndo huwa anasema ana biashara zake.
Kuna Kipindi Paul Makonda alishindwa kujua Mbowe anafanyabiasha gani hadi akahisi anafanya biashara za madawa ya kulevya.
Pia, soma:
Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...
Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa
Nitamfuata Lissu amenidhihirishia kuwa CHADEMA ni SACCOS ya Mbowe I don't want to waste my time anymore...Ila nakuhakikishia, Lissu anahama chadema in the next 3 months.
Mbowe mjasiliamali wa siasa tu. Anaitumia cdm kujinufaisha na kujilipa ruzuku ndio maana hataki kuachia.Lissu akikuchukia anakupakazia na kukuzushia kitu chochote.
Akishindwa uchaguzi wa Jan 21 game yake inaishia hapo.
Atakuwa na wakati mgumu sana kwenye siasa za upinzani, mara elf aende CCM kuliko ku deal na wapinzani wawili wawili.
Shida yakr ni njaa, hana chochote na hawez biashara yeyote
Maria Sarungi kawapa kazi ngumu sanaMbowe mjasiliamali wa siasa tu. Anaitumia cdm kujinufaisha na kujilipa ruzuku ndio maana hataki kuachia.
Awamu hii atatoka tu, chama sio mali yake binafsi
Ila mkuu we Mshamba na Mjuaji sana!Kwa hili Lissu ni mshamba sana,
Zipo Bislashara kibao wamiliki ni ghosts for a reason.
Mazingira yeyote ya kuweka biashara zako wazi ukiwa kwenye siasa ni kitafuta kujimaliza.
Wapo wengi sana duniani hawaonekani kwenye list yeyote ya legal business lakini ni matycoon.
Yeye hajawahi fanya biashara and he knows nothing about it.....
Atulie aombe michango achangiwe aache bla bla za kishamba.
Hashangai ni yeye tu anazungusha bakuli kuomba mia mia wenzake daily Dubai, Nairobi, Dar, US etc..
Wewe unaish kwa free meal ya special political asylum card bwana wacha kujilinganisha na kila mtu.
Mkuu LISu huyu warthog wa mjini Mr kasongo, Marais watatu walishamfanyi fitina wote walichemkaMbowe safari hii kayakanyaga. Alijua lissu ni sawa na zitto kabwe
Hata Akimfuata Msigwa ?😃Nitamfuata Lissu amenidhihirishia kuwa CHADEMA ni SACCOS ya Mbowe I don't want to waste my time anymore...
Ndio I know things..Ila mkuu we Mshamba na Mjuaji sana!
Never! Na Lissu akienda CCM mimi nitabaki na kadi moja tu ya Chama cha Madereva wa Malori ya Mizigo mpaka pale Wapinzani makini watakapopatikana kama bado nitakuwa na uhai.Hata Akimfuata Msigwa ?😃