Je, Tundu Lissu atagombea Urais wa JMT 2025?

Usitutishe.
 
Ok
 

Hakuna bunge Tanzania, bali kuna kundi la wahuni wa ccm ndani ya jengo la bunge la Tanzania. Watanzania wa kweli hata kwenye huo uchaguzi wenyewe waliuupuuza. Na kwa taarifa yako ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Unataka umfanyeje? Ni siri ya chama ...
 
Chadema ina wabunge 20!
 
Kwa akili yako unadhani magufuli ndo alitoa pesa za vipeperushi na gharama za mafuta ya kuzungukia nchi nzima?
Nyarandu angeweza ku finance kampeni ila Lisu alichemka bwashee.
Lisu ni mzigo hana pesa za kampeni Mbowe mwenye chama awezi kubali tena kubeba zigo kwa mara ya pili.
 
Nyarandu angeweza ku finance kampeni ila Lisu alichemka bwashee.
Lisu ni mzigo hana pesa za kampeni Mbowe mwenye chama awezi kubali tena kubeba zigo kwa mara ya pili.
Ni vile hujui mzuka tulio nao na Lissu mimi ni mdogo Sana na uchumi usio stable Sana lakini nilijitolea diesel Lita zaidi ya 2000 na cash tsh. 3.3 mil. Je wenye hela zao na wana mzuka kama wangu au zaidi watatoa tsh ngapi?

Fikiria matibabu Kenya alikaa zaidi ya 4 months na kila siku kitanda pekee ni more than 2 mil bado matibabu akachukuliwa hadi Belgium akatibiwa muda mrefu Sana wakati huo kafukuzwa ubunge na serikali imegoma kumgharamia unadhani ni nani alitoa?
Labda hujui lakini watu tunaweza uza hadi bata ili kumsapoti.
 
Watu wa CCM Lowasa na Turkey R.I.P ndo walidhamini show.
 
Acha upuuzi wako tuko kwenye maombolezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…