johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Hahahaaaa..... Hakuna maskini CCM manka.Huyu bwana ni umaskini tu unamsumbua ndiyo maana anakuwa vile
Kwani hii ya zama za mawe inayoilinda CCM ilitoka mbinguni ?Katiba mpya itatoka mbinguni?
The great aliyepewa cheo cha kutetea mashoga?Usipomtaja Tundu Lissu The Great hujisikii raha?
Mwana mpotevu yu hali gani? Kaenda kutapanya ugenini?
Una uhakika uchaguzi ni 2025? Je ukiwa kabla? Au ukienda mbele hadi 2035 baada ya wale wa "atake asitake" kufanikiwa kumwongezea muda?Najiuliza tu kama Chadema wana mpango wa kumsimamisha Tundu Lisu kugombea tena urais 2025.
Na kama watamsimamisha sijajua watatumia utaratibu gani kufanya kampeni maana kila nikifikiria mpira wa kona unavyogombaniwa naogopa sana.
Maendeleo hayana vyama!
Iliandikwa na Pius Msekwa wa CCM!Kwani hii ya zama za mawe inayoilinda CCM ilitoka mbinguni ?
Vyovyote vile je Tundu Lisu atagombea tumsubiri pale Kawe kwa Mwamposya?Una uhakika uchaguzi ni 2025? Je ukiwa kabla? Au ukienda mbele hadi 2035 baada ya wale wa "atake asitake" kufanikiwa kumwongezea muda?
Saa hizi tunataka ya wananchi Pius Msekwa na wenzie walikua na bado ni makada wa CCM ndio maana hawaoni umuhimu wa kubadili sababu inalinda maslahi yao...Iliandikwa na Pius Msekwa wa CCM!
Unamuulizia Lisu, hapa Lumumba unanuhakika Magufuli atagombea?Vyovyote vile je Tundu Lisu atagombea tumsubiri pale Kawe kwa Mwamposya?
Wananchi wamekuambia wanataka katiba mpya?Saa hizi tunataka ya wananchi Pius Msekwa na wenzie walikua na bado ni makada wa CCM ndio maana hawaoni umuhimu wa kubadili sababu inalinda maslahi yao...
Ametangaza eti nia ya kugombea Uenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa! Huenda hiyo njaa itapungua iwapo atashinda. johnthebaptist a.k.a Mzee Mgaya!!Huyu bwana ni umaskini tu unamsumbua ndiyo maana anakuwa vile
Hapo CCM ni sawa na kumshika nyati sehemu za siriHatutoki relini ! Msidivert attention...
Tume huru ni muhimu...
Katiba mpya ni lazima...
Mwisho waelezeni wananchi jiwe yuko wapi!?
Magufuli ni kipenzi cha wananchi.Unamuulizia Lisu, hapa Lumumba unanuhakika Magufuli atagombea?
Siyo mwanaume huyo ni bibi ambaye hajawahi kuolewaAmetangaza eti nia ya kugombea Uenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa! Huenda hiyo njaa itapungua iwapo atashinda. johnthebaptist a.k.a Mzee Mgaya!!
Kwa sasa mchungaji Msigwa ni balozi wa maziwa ya Asas na akina Haji ManaraAmetangaza eti nia ya kugombea Uenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa! Huenda hiyo njaa itapungua iwapo atashinda. johnthebaptist a.k.a Mzee Mgaya!!
Yuko wapi sasa!! Maana bado hajatupandisha madaraja yetu mpaka sasa!! Mwaka wa sita huu!!!Magufuli ni kipenzi cha wananchi.
Hahahaaaa...... Wewe uliyeolewa mbona unatunzwa na Halima James Mdee?!!Siyo mwanaume huyo ni bibi ambaye hajawahi kuolewa
Mlitaka kumtanguliza kuzimu Mungu acha aitwe Mungu lakini ya risasi itawatafuna!Sema Lisu ni muoga hawezi kurudi nchini.
Yule Bobi Wine wa Uganda ndio jasiri!
Mambo ya madaraja kazini muone Patrobas Katambi atakusaidia, hilo ni eneo lake pia!Yuko wapi sasa!! Maana bado hajatupandisha madaraja yetu mpaka sasa!! Mwaka wa sita huu!!!
Aliyetaka kumuua yeye ndiyo anahali mbaya kulikoMlitaka kumtanguliza kuzimu Mungu acha aitwe Mungu lakini ya risasi itawatafuna!