Je, Tundu Lissu atagombea Urais wa JMT 2025?

Je, Tundu Lissu atagombea Urais wa JMT 2025?

Najiuliza tu kama Chadema wana mpango wa kumsimamisha Tundu Lisu kugombea tena urais 2025.

Na kama watamsimamisha sijajua watatumia utaratibu gani kufanya kampeni maana kila nikifikiria mpira wa kona unavyogombaniwa naogopa sana.

Maendeleo hayana vyama!
Una uhakika uchaguzi ni 2025? Je ukiwa kabla? Au ukienda mbele hadi 2035 baada ya wale wa "atake asitake" kufanikiwa kumwongezea muda?
 
Una uhakika uchaguzi ni 2025? Je ukiwa kabla? Au ukienda mbele hadi 2035 baada ya wale wa "atake asitake" kufanikiwa kumwongezea muda?
Vyovyote vile je Tundu Lisu atagombea tumsubiri pale Kawe kwa Mwamposya?
 
Saa hizi tunataka ya wananchi Pius Msekwa na wenzie walikua na bado ni makada wa CCM ndio maana hawaoni umuhimu wa kubadili sababu inalinda maslahi yao...
Wananchi wamekuambia wanataka katiba mpya?
 
Ametangaza eti nia ya kugombea Uenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa! Huenda hiyo njaa itapungua iwapo atashinda. johnthebaptist a.k.a Mzee Mgaya!!
Kwa sasa mchungaji Msigwa ni balozi wa maziwa ya Asas na akina Haji Manara

Nimewaahidi wana Iringa kumrejesha kundini CCM mchungaji huyu kabla ya uchaguzi wa chama mwakani!
 
Back
Top Bottom