Je, Tundu Lissu atakutana na Rais Samia Suluhu Ubelgiji?

sio ajabu wakuu,kila raia watanzania ni haki yake kikatiba kuomba au kutakwa kukutana na rais.lkn mm najiuliza kwa nn akina lisu,lema hawataki kurudi nyumbani!!?, shida Nini!!? Wanamuogopa hangaya au !!?
Hawaogopi kila kitu kina mipangilio yake.. Wakati ukitimia watarudi usihofu
 
Lisu asipoenda kukutana na Rais wa nchi alikozaliwa na kukulia atakuwa siyo muungwana. Ukizingatia juhudi zote za Makamu wa Rais wakati huo za kumuombea quick recovery kiasi cha kufunga safari kwenda hospitalini kumuona!
 
Kwa hiyo hili la Mbowe unaliona litaishaje? Mbowe aombe samahani au?
 
Akikutana naye au asikutane naye hakuna mwenye shida naye, rais ni taasisi kubwa sana kuliko Tundu Lissu!
 
Ahaa, kwa hiyo ni kwamba swala la Mbowe ni maandamano na wala sio ugaidi, hapo nimekuelewa vizuri sana.
 


Swali zuri lingekuwa hivi; je Tundu atakwenda kuonana na Rais Samia huko Ubelgiji??
 
Hilo likiwezekana, basi litakuwa jambo jema sana kwa Tanzania . Na sioni ugumu maana katika siasa lolote linaweza kutokea na hii ni katika kujenga maridhiano ya kitaifa. Historia inaonesha kuwa hawa wawili yaani Tundu Lissu na Rais Samia Suluhu Hassan ni wazalendo wa kweli kunapokuja kuhusu kujenga taifa moja tofauti na uongozi wa CCM uliopita.
16 February 2022 Brussels, Belgium

Toka maktaba:

28 November 2017
Nairobi, Kenya

Makamu wa Rais Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu .




17 Feb 2020
Samia Suluhu : "Napenda mawazo ya wapinzani, huwa wanajenga hoja vizuri, walini 'inspire' niingie siasa"

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefunguka kuhusiana na historia ya maisha yake ambapo ameeleza siri ya mafanikio na chanzo kilichomvutia kuingia kwenye siasa. Samia Suluhu anaona hoja za upinzani ni moto, zimejaa mantiki kuliko za mawaziri wa serikali ya CCM , hivyo walinivutia / inspire, mimi ni activist ... kuingia siasani baada ya kuona majibu na hoja za upande wetu (CCM) hazina uhalisia na hazijibu maswali ya wananchi ....

 
Kama Maza atahitaji kukutana na Lissu sawa, lakini awe tayari kutoa majibu ya sintofahamu nyingi
1. Shambulio lake kwa nini upelelezi hadi leo haujafanyika
2. Suala la Ugaidi wa Mbowe
3. Usalama wake - kwani anatamani kurudi nchini
4. Suala la katiba mpya
 
Protocal huwa kwa kawaida Rais huitisha kikao na watanzania wanaoishi kwenye nchi husika.. Watanzania kupitia Balozi hupewa mwaliko..

Tahadhari: huo sio mkutano wa Siasa au kusutana na kutafuta political mileage au mdahalo wa Urais..... ni Rais anaongea na Watanzania kuwaeleza hali halisi ya nyumbani na kusikiliza maoni yao...
 
Hiyo ni lazima, ni kama Amina baada ya Sala, wote ni wamoja wana bosi mmoja, masikini Mbowe!

 
Lissu na chadema hawatambui matokeo ya uchaguzi wa 2020 uliochakachuliwa na yule mwehu, hivyo hawamtabui kama rais harali. Labda akiongea naye kama mtanzania au Mzanzibari wa kawaida
 
Hata hivyo, taarifa iliyotolewa na mkurugenzi wa mawasiliano ikulu imetanabaisha kwamba Mh Rais ataongea na watanzania wanaoishi nchi Ufaransa, kuhusu Ubelgiji taarifa hiyo haijasema chochote katika hili.
 
Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…