Je Tundu Lissu hana ubinadamu?

Lissu wa kumfanya mbowe kama baba yake mzazi ktk siasa kwa ubinadam aliomfanyia. Nyinyi kunguni mumeweka sana tamaa ya vyeo na kelele, ukiambiwa uandamane na LISSU utakimbilia mvunguni
Nasemaje, muache kuilaumu serikali na wana ccm kwa kulindana wanachofanya ni ubinadamu. Sasa umamchukuliaje hatua na kumpeleka mahakamani mtu aliyefuja pesa ya serikali bilions kadhaa wakati alikusaidia katika safari yako ya kuwa kiongozo. Huo si ubinadamu au vipi?
 
Wapi lisu amemdhihaki au kumvunjia hekima mbowe..? Ila kobazi daaah
 
Umeuliza maswali ya kijinga sana. Hebu rudia kuyasoma wewe mwenyewe kwanza,unaweza kujikata kichwa hicho.
Nyie wakati Mbowe anamuuga hospital nyinyi huku jf mnamwita Lissu msaliti wa taifa
 

Kwa hiyo Lissu awe mtumwa wa mbowe. Ngoja Lissu ashinde
 
Sio kwa LISSU, wapo wa kumpinga sio Lissu. Lissu alivyofanyiwa ubinaadam wa hali ya juu na mbowe sio wa kutoka na kumnanga hadharani
Sasa unaumizwa na mbowwe kunangwa hadharani au yale mabilioni yenu mliompata mbowwe kuliwa bila malipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…