Je Tundu Lissu hana ubinadamu?

Nashindwa kuelewa kuasaidiwa lissu baada ya kupata majanga kuna husiana vipi na kugimbea nafasi ya uenyekiti

Unataka kutuambia mbowe anastahili kuwa mwenyekiti wa maisha?

Au

Awepo mgombea mwengine lkn asiwe lissu?
Mbowe hastahili, lkn Lissu yaliomkuta na mbowe jitihada alizochokuwa wakati wewe humu unamwita Lisu msaliti
 
Ingalikuwa hivyo hata mawaziri wangalimpinga Rais hadharani, katiba inaruhusu pia
nadhani hapa aidha umepotoka au unachanganya mambo tofauti sababu:

1. kugombea nafasi yeyote chadema si ukosefu wa ubinadamu.

2. kutofautiana fikra si ukosefu wa ubinadamu.

3. tal nyakati zote amejipambanua kuwa mpinga rushwa na msema kweli na hili si ukosefu wa ubinadamu.

4. kama tal kuna sehemu alikosea alipaswa awajibishwe kupitia mamlaka kamili chamani ila haya mnapoyaleta wakati huu alipotangaza nia, alipochukua na kurejesha fomu ndiyo mnamuona hana ubinadamu hamuwezi eleweka asilani abadani.
 
Mithali 17:17

"Rafiki hupenda nyakati zote, na ndugu huzaliwa kwa siku ya taabu."
Hii inaonyesha kuwa mtu anayekusaidia katika shida ni wa thamani, na ni muhimu kumheshimu.

SIO HAWA WANAFIKI WAKATI UPO NAIROBI WAO WANAKWITA MSALITI LEO WANAJIFANYA RAFIKI
 
Kwa hiyo Tundu Lissu asigombee kwa sababu aliuguzwa na MBOWE?
 
itoshe kusema nakubaliana kutokubaliana nawe kimtazamo na kifikra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…