Je Tundu Lissu hana ubinadamu?

Uongozi hautaki mambo hayo ya kuoneana huruma sijui kulipana fadhila.
 
Ww pamoja na wanaounga mkono huu upuuzi uliouandika wote nyie ni wapumbavu.
 


Hivi mna akili kweli? Kwa hiyo maslahi ya chama yaachwa sababu mtu alibeba chupa ya damu?
 
Hivi mna akili kweli? Kwa hiyo maslahi ya chama yaachwa sababu mtu alibeba chupa ya damu?
Kwani chadema yupo Lissu tu? Hakuna mwengine anaweza kumuondoa Mbowe hapo? Wakati mbowe yupo nae Nairobi miezi 3 , maslahi ya chama alikuwa nayo lissu kitandani?
 
Uongozi hautaki mambo hayo ya kuoneana huruma sijui kulipana fadhila.
Kwa hivyo Mbowe kafanya kosa sana kumuonea Huruma Lissu kipindi kile angalimuacha tu aaangamie? Unaakili kweli?
 
Umeandika ujinga. Kwamba Mbowe ni Mungu hapo chadema mpk kumpinga kwake kuwe na style ya kipekee? Au kwa kuwa ni Mbowe basi asipingwe??

Rubbish!!
Mbowe sio Mungu, nasema wakumpinga sio Lissu. Hii ni sawa leo hii Lissu akamsifu Makonda kwamba ni mtu mwenye huruma kwa binaadam wakati kamtuhumu hadharani ktk shambulio lake
 
Haangalii ubinaadam?
 
Kuomba kugombea uenyekiti ndiyo kukosa ubinadamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…