Just stay tuned bro
It's happening soonWatamzungusha kidogo kisha june huko Dipipi atasema hana nia ya kuendelea na hiyo kesi
mkakati uliosukwa na Njaa55 akiwa ndani wahame ili siku akitoka akute yupo yeye tu pekeyakeKufuatia kelele nyingi toka ndani na nje ya nchi kuhusu uonevu anaofanyiwa Mheshimiwa TAL na serikali ya CCM kwa kumbambikia kesi ya uhaini, vyanzo toka ndani vinatanabaisha tarehe 19/05/2025 Mwenyekiti taifa wa Chadema ataachiwa huru.
Stay tuned.
Tondo za mnachaKufuatia kelele nyingi toka ndani na nje ya nchi kuhusu uonevu anaofanyiwa Mheshimiwa TAL na serikali ya CCM kwa kumbambikia kesi ya uhaini, vyanzo toka ndani vinatanabaisha tarehe 19/05/2025 Mwenyekiti taifa wa Chadema ataachiwa huru.
Stay tuned.
TAL wamemfunga lakini maajabu chama kinaendelea kupata nguvu na mwamko kila siku.
sio wapenda siasa, bali wapenda haki!Wanavyo mbana TAL ndio anazidi kuchanja mbuga kwenye mioyo ya wapenda siasa.
Ikumbukwe alishapata uraisi wa TLS akiwa mahabusu
Kabisa hizi cinema tunazoona ni mpango wa CCM kui weaken Chadema ila wameona mbungi inayopigwa na CDM ni kubwa mno so inawaogopeshamkakati uliosukwa na Njaa55 akiwa ndani wahame ili siku aitoka akute yupo yeye tu pekeyake
Hawakujua juu ya Message ya Lissu kuwa ndio kilio kwa wananchi
Atakikuta chama kipo imara zaidi chini ya uongozi wa Makau Heche
Basi tuseme wapenda siasa na hakisio wapenda siasa, bali wapenda haki!
We muoga sana, ata nyoka akiingia ndani utakimbiaSipendi mtu kuwekwa kule, ila huyu jamaa kapenda mwenyewe.
Na hao wanamuonyesha tu kwamba yuko dunia ya mwisho
Trust me wanamuachia hivi karibuni mambo huko ndani yamevurugikaYaani Tanzania tunafanya uchaguzi afu strong opposition leader Yuko jela aisee hii ni aibu
But kumuachie sahivi sidhani Hadi mwakani