Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
siasa ni niniBasi tuseme wapenda siasa na haki
siasa ni niniBasi tuseme wapenda siasa na haki
Hakuna binadamu anayeweza kuvimbiana na watu wengi na akafanikiwa, it's just a matter of time!!Hana muda wa kuelewana na wapigaji.
Wako kwenye confusion ya kufa mtu...TAL wamemfunga lakini maajabu chama kinaendelea kupata nguvu na mwamko kila siku.
Huyu si ndie master wa mipango yote michafu inayoendelea na anapewa back up na watu wa usalama.Kupitia Lissu tulmjua Abdul
Exactly time will telHakuna binadamu anayeweza kuvimbiana na watu wengi na akafanikiwa, it's just a matter of time!!
They are divided, lakini kuna utaratibu unafanyika ili kumuachia hiyo J3Wako kwenye confusion ya kufa mtu...
Each of their evil plans against CHADEMA fails spectacularly...
John P. Magufuli alipangaga aiue kabisa kufikia mwaka 2020, badala yake akafa yeye...!!
Huyu Bi Ushungi ndiye hovyo kabisa kwa sababu anashauriwa ujinga na upumbavu mtupu na Wazanzibari wenzake, hakika naye atapita humohumo alimopita Magufuli. NAYE ATAKUFA unless ajirekebishe na kutubu haraka...!
Mawakili upande wa Jamhuri wanahaha ile mbaya😀 maana hii case itawavua nguo so no one is interestedTAL akiwa nje wanaomfatilia ni watu wa siasa ila akiwa ndani watu wengi wanataka kujua hatma yake na yale maswali ya kina Kibatala ndio kabisaa bora wangekua wanamuacha tu kwa hizi kesi zao maana baadae wanashindwa kujibu maswali kama yule mzala anaulizwa Elimu yake mkali kama kameza moto harafu ndio uwategemee kwenye ushahidi ni mbaya sana..
Wee utajionea maajabu sio mdaMa
Sifuri ndio Inaanza na Moja inasubiri, Maajabu Ni kwamba ya pili inakua ya kwanza na ya kwanza inasubiri.
Wale wakina Kambole sio watu wazuri wanaweza kukuuliza hapa ni Daslm au Mbeya ukajibu mbeya maana wanakua washakupelekea moto wa hatari yule njagu wa aliekuja kutoa ushahidi kisutu atakua anapapitia mbali sana..Mawakili upande wa Jamhuri wanahaha ile mbaya😀 maana hii case itawavua nguo so no one is interested
Kote pa motoAkitoka watajuta, akibaki wanajuta.
Ndio hapo sasaBora wamuachie tu, dola inamhofia bure na chadema yake hana madhara. Kama wameisambaratisha chadema kitisho kipo wapi?
😀😀😀Maji yameungua sio!
Genge la Mbowe na majizi ya ccm ndio watu wengi?Hakuna binadamu anayeweza kuvimbiana na watu wengi na akafanikiwa, it's just a matter of time!!
Huoni nyomi la watu? Kweli Ccm ni mbuziN
Nguvu unapima kwa kutumia nini wakati kila siku wanachama wanakimbia chama kwa mamia? Aliyewaita nyumbu apewe maua yake
Wanaweza kupiga marufuku mikutano ya chademaKabisa hizi cinema tunazoona ni mpango wa CCM kui weaken Chadema ila wameona mbungi inayopigwa na CDM ni kubwa mno so inawaogopesha