TL ana baraka zake. Atakayeiga atapoteaTAL wamemfunga lakini maajabu chama kinaendelea kupata nguvu na mwamko kila siku.
NasadikiLissu (simba) ni mpango wa Mungu! Muujiza unaotembea kila anayejipendekeza inakula kwake yani
Nimekaa pale..Kufuatia kelele nyingi toka ndani na nje ya nchi kuhusu uonevu anaofanyiwa Mheshimiwa TAL na serikali ya CCM kwa kumbambikia kesi ya uhaini, vyanzo toka ndani vinatanabaisha tarehe 19/05/2025 Mwenyekiti taifa wa Chadema ataachiwa huru.
Stay tuned.
Wanajua ana ushawishi mkubwa.... Imagine kama angekuwepo kanda ya ziwa, hilo balaa lao lingekuwa kubwa sanaBora wamuachie tu, dola inamhofia bure na chadema yake hana madhara. Kama wameisambaratisha chadema kitisho kipo wapi?
Chukua na popcorn kabisa😀Nimekaa pale..
Hivi alikua mahabusu kweli?Wanavyo mbana TAL ndio anazidi kuchanja mbuga kwenye mioyo ya wapenda siasa.
Ikumbukwe alishapata uraisi wa TLS akiwa mahabusu
Haachiwi gaidi mkubwa huyo.Just stay tuned bro
hiyo dola si na yenyewe iwe na mtu mwenye ushawishi kama lissu wakashindane kushawishi wananchi kuliko kukamata na kuweka ndani mshawishi?Wanajua ana ushawishi mkubwa.... Imagine kama angekuwepo kanda ya ziwa, hilo balaa lao lingekuwa kubwa sana
Kupitia Lissu tulmjua AbdulNa akirudi Njaa-55 wajiandae kukwepa makombora pamoja na aliyeko nyuma yao.
Maana TAL hanaga cha kubembeleza.
huamini?Hivi alikua mahabusu kweli?
usitake matusi tafadhaliHaachiwi gaidi mkubwa huyo.
Harembagi huyo mwamba wa Lusaka...Na akija anaweza kumnyoa hata Mbowe kwa wembe butu kwani ndiye yupo nyuma ya hawa wahamaji.Kupitia Lissu tulmjua Abdul
bora aje tu alipue mambo, tumechoka siasa za kinafiki na kizandikiNa akirudi Njaa-55 wajiandae kukwepa makombora pamoja na aliyeko nyuma yao.
Maana TAL hanaga cha kubembeleza.
Hilo sio swali JIBU tosha mkuuKufuatia kelele nyingi toka ndani na nje ya nchi kuhusu uonevu anaofanyiwa Mheshimiwa TAL na serikali ya CCM kwa kumbambikia kesi ya uhaini, vyanzo toka ndani vinatanabaisha tarehe 19/05/2025 Mwenyekiti taifa wa Chadema ataachiwa huru.
Stay tuned.
Akiachiwa route ya kanda ya ziwa irudiwe😄Wanajua ana ushawishi mkubwa.... Imagine kama angekuwepo kanda ya ziwa, hilo balaa lao lingekuwa kubwa sana
Cdm ni chama cha ajabu, kila wanapoondoka wanachama wengi ndio kinapandisha hamasa zaidi.Bora wamuachie tu, dola inamhofia bure na chadema yake hana madhara. Kama wameisambaratisha chadema kitisho kipo wapi?
Akiachiwa route ya kanda ya ziwa irudiwe