Kimalingano
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 1,366
- 1,770
Kuwepo ndani ni faida zaidi kwa Chadema kuliko hasara.Kufuatia kelele nyingi toka ndani na nje ya nchi kuhusu uonevu anaofanyiwa Mheshimiwa TAL na serikali ya CCM kwa kumbambikia kesi ya uhaini, vyanzo toka ndani vinatanabaisha tarehe 19/05/2025 Mwenyekiti taifa wa Chadema ataachiwa huru.
Stay tuned.
Pia ni hasara kwa nchi kwani inabagazwa na wazungu na wanaweza wakatunyima misaada.
Atolewe tu ili Chadema wapungukiwe na hoja.