Je, Tundu Lissu kuachiwa huru Jumatatu?

Je, Tundu Lissu kuachiwa huru Jumatatu?

Harembagi huyo mwamba wa Lusaka...Na akija anaweza kumnyoa hata Mbowe kwa wembe butu kwani ndiye yupo nyuma ya hawa wahamaji.
Mnaongizwa na chizi mwenye faili mirembe, unadhani ni kwa nini hana hata uso wa aibu na hataki hata kuelewana na wenzake!!?
 
Kufuatia kelele nyingi toka ndani na nje ya nchi kuhusu uonevu anaofanyiwa Mheshimiwa TAL na serikali ya CCM kwa kumbambikia kesi ya uhaini, vyanzo toka ndani vinatanabaisha tarehe 19/05/2025 Mwenyekiti taifa wa Chadema ataachiwa huru.
Stay tuned.
Ngoja wazugezuge kiaina halaf atawekwa huru!!
 
Mpigie simu hakimu, mahakama haiendeshwi kwa kelele za watu wawe wa ndani au nje ya nchi.
 
Kufuatia kelele nyingi toka ndani na nje ya nchi kuhusu uonevu anaofanyiwa Mheshimiwa TAL na serikali ya CCM kwa kumbambikia kesi ya uhaini, vyanzo toka ndani vinatanabaisha tarehe 19/05/2025 Mwenyekiti taifa wa Chadema ataachiwa huru.
Stay tuned.
Akitoka naacha kuchangia chochote JF hadi Uchaguzi Mkuu uishe.
 
Nadhani Jumatatu watasema gari la magereza lina hitilafu hivyo hawatoweza kumleta mahakamani.
 
Yaani Tanzania tunafanya uchaguzi afu strong opposition leader Yuko jela aisee hii ni aibu

But kumuachie sahivi sidhani Hadi mwakani

Ataachiwa, sio kwa kupenda! spiritual realm is strong than physical realm!
 
Back
Top Bottom