Kimalingano
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 1,366
- 1,770
Kuwepo ndani ni faida zaidi kwa Chadema kuliko hasara.Kufuatia kelele nyingi toka ndani na nje ya nchi kuhusu uonevu anaofanyiwa Mheshimiwa TAL na serikali ya CCM kwa kumbambikia kesi ya uhaini, vyanzo toka ndani vinatanabaisha tarehe 19/05/2025 Mwenyekiti taifa wa Chadema ataachiwa huru.
Stay tuned.
J3 si mbali mkuu kila kitu kitafahamikaLabda aachiwe kwenye korido za magereza azunguke zunguke humo ndani
Ni kweli lazima watia nia wapimwe kwa hoja na si kuwekeana vikwazo na mizengwe isio na tija kwa nchiKuwepo ndani ni faida zaidi kwa Chadema kuliko hasara.
Pia ni hasara kwa nchi kwani inabagazwa na wazungu na wanaweza wakatunyima misaada.
Atolewe tu ili Chadema wapungukiwe na hoja.
Na ndio mipango yao hio kwamba wam-release then waje na ban ya mikutano ya CDMLabda aachiwe kwenye korido za magereza azunguke zunguke humo ndani
Hawa jamaa hawapendi ushindani wa kweliHuoni nyomi la watu? Kweli Ccm ni mbuzi