Je, tupo kwenye dakika za lala salama unabii wote wa biblia umeshatimia ?

Mkuu niseme cha muhimu tuendelee kuheshimiana mimi ni kijana mstaharabu na mwema sana naweza hata kukusaidia lakini kama hauto hitaji hakuna kitakacho change

asante sana
 
Mkuu niseme cha muhimu tuendelee kuheshimiana mimi ni kijana mstahiarabu na mwema sana naweza hata kukusaidia lakini kama hauto hitaji hakuna kitakacho change
asante sana
Wewe unisaidie mimi?😅😅😅😅😅nimecheka sana mpaka pombe yangu imemwagika, naomba hiyo mada yako tutaijadili siku nyingine hapa nakula good time kwanza .
 
Wewe unisaidie mimi?😅😅😅😅😅nimecheka sana mpaka pombe yangu imemwagika, naomba hiyo mada yako tutaijadili siku nyingine hapa nakula good time kwanza .
Unatia haibu mkuu na unazidi kuonesha uwezo mdogo wa ufahamu, misaada ipo ya aina nyingi sana hata matajiri wanasaidiwa pia au hujui ?

Umekataa mambo ya kidini alafu huna fact za msingi au hoja za kukufanya ukatae naona tu unanitumia kimdoli na unacheka cheka sioni kama upo sawa na unatia aibu hapa na kuonekana hujielewi.

Au wewe huoni mimi nafanya amani na wewe alafu unanitumia midoli mara ujichekeshe sio positive kabisa wewe sio kosa lako.
 
Siku nyingine tengeneza Audio
 
Bora mimi naamini ili ijapokuwa kweli niokolewe kuliko wewe usie amini kabisa, mimi na wewe nani bora huna akili
Unaamini ili ikiwa kweli uokoke? Means huna imani madhubuti.
Kilichokujaza ni hofu tu ya mambo ya dhahania. Hapo unaogopa moto balaa ndiyo maana umeamia kuendelea kuamini mambo ya dhahania.
 
🚮
 
Hadithi za vitabu vya kale, kumbe hii ndio sababu ulikuwa unatetea Israel. Umeandika mengi, unfortunately hakuna mtu kasoma uzi wote. Una miaka mingapi?
 
Hadithi za vitabu vya kale, kumbe hii ndio sababu ulikuwa unatetea Israel. Umeandika mengi, unfortunately hakuna mtu kasoma uzi wote. Una miaka mingapi?
Naona dharau sasa, inasikitisha sana jinsi watu wengi walivyo na uelewa mdogo sana wa vitu nina aslimia 100% wewe hamna kitu kichwani nisipoteze muda wangu bure kama una hoja za msingi weka mezani usijiabishe.
 
Bibilia na dini kiujumla ni mavi yanayopuliziwa pafyum na uturi.
 
kweli umeandika yote hayo sisi tusome!!!YOU CANT BE SIRIAZ
 
Hadithi za vitabu vya kale, kumbe hii ndio sababu ulikuwa unatetea Israel. Umeandika mengi, unfortunately hakuna mtu kasoma uzi wote. Una miaka mingapi?
Nina uhakika 99.99% hajaandika yeye. Ame-plagiarize kutoka sehemu. Sema ni kawaida yetu kukopi kopi vitu bila kusema tulikovitoa.
 
Nina uhakika 99.99% hajaandika yeye. Ame-plagiarize kutoka sehemu. Sema ni kawaida yetu kukopi kopi vitu bila kusema tulikovitoa.
nina nyuzi kibao humu mimi sio mtu wa kucopy vitu na hii sio nyuzi yangu ya kwanza ya kidini ndefu, jaribu kuwa unanifuatilia
 
kweli umeandika yote hayo sisi tusome!!!YOU CANT BE SIRIAZ
inategemea na uwezo wako nilikaa nilisoma kitabu kikubwa sana kwa mda mchache nikakimaliza hivyo hii nyuzi kwangu ni ndogo haifikii hata nusu ya kiwango changu cha usomaji hivyo hatupo sawa.
 
PRAISE THE LORD JESUS! ! !


Kitabu cha Danieli kiliandikwa miaka ya 500 BC, kikitoa unabii kwa usahihi kabisa kuhusu milki zitakazoongoza ulimwengu mpaka ufalme wa MUNGU utakapofika, kuanzia kwa Nebuchadnezzar (milki ya 3), pamoja na matukio mengine ya kihistoria.

Kilikuwa TOTALLY accurate kiasi kwamba atheist historians wanasema HAIWEZEKANI kuwa kiliandikwa 500BC, labda miaka ya 100BC! ! !


Can We Trust the Book of Daniel? )
 
Kweli tuko kwenye dakika za lala salama.

Me sio msabato, the Lord said a time is coming when those who worship him shall worship in spirit and truth, so at this point we go beyond which church you go to.


Five problems:

A) You make your own assumptions.


Mf. Unasema "hiki ni kitu ambacho kama kingetokea kingeenda kinyume na unabii wa siku za mwisho kwasababu utawala wa kirumi ungekuwako mara mbili"

Wapi pamesema utawala hauwezi kuwepo mara mbili?

B) You add your own words into scripture, distorting its meaning.

Mf. Unasema "Ufalme utagawanyika kuwa mataifa madogomadogo"

Neno linasema ufalme huo wa mwisho utakuwa umegawanyika. (Dan 2:41). Theres a difference.

C) You read scripture incorrectly.

Mf. Unasema wateule watadanganyika.

Yesu alisema IKIWEZEKANA hata wateule wadanganyike. (Mat 24:24) Meaning the coming deception will be that good! ! Uongo uliosukwa barabara.

Uongo wenyewe kasema utakuwa ni miujiza na maajabu makuu.

D) You are not consistent.

Umesoma mwenyewe kuwa baada ya mtawala wa mwisho, watakatifu watatawala. Halafu unasemama unabii wa Danieli na Ufunuo umekwishatimia. Watakatifu wanatawala wapi?

Unabii wenyewe unatimzwa kwa kurudi kwa Yesu, Yesu amerudi?

Ambaye ndiye atakayemuangamiza huyo mtawala wa mwisho. (2Thesa 2:8, Ufu 17:14)

E) Unasoma Danieli na Ufunuo kama matukio tofauti.

Ndoto ya Danieli 7 ndiyo hiyo hiyo ya Ufunuo 13! ! ! Ambayo inafafanuliwa kwenye Ufunuo 17. Zote mbili zinahitimishwa kwa kurudi kwa Yesu

Ni kama zile ndoto za Farao za ng'ombe na nafaka.

"Ndipo Yosefu akamwambia Farao, “Ndoto zako zote mbili tafsiri yake ni moja. Mungu amekufunulia mambo atakayofanya hivi karibuni.
gen.41.25.BHN
 
(Will not engage in a debate, I'll read your response though incase you reply)





Milki ambazo nabii Danieli na nabii Yohana walitabiri ndo hizi, na sasa ndo tuko either kwenye miguu ya chuma, au vidole vya chuma na udongo, depending on your understanding.

(Kuna wanaoona chuma ni milki ya Waislamu na mpinga Kristo atakuwa muislamu. Binafsi sioni hivyo, lakini naona mpinga Kristo atawatumia waislamu.)


A) Mpinga Kristo anatokea kwa mnyama wa 4 na mwisho, ambaye ndo tuko chini yake sasa (mataifa ya magharibi), atatawala dunia nzima tofauti na milki zilizopata.

#Kwenye biblia, kitovu cha dunia ni Yerusalemu, kwahiyo aliyeshika Yerusalemu ndo anayetawala dunia.

Mwisho wa utawala wake ni kuangamizwa na Yesu mwenyewe atakaporudi na kusimamishwa kwa Ufalme wa Mungu, kwahiyo unabii huo bado haujatimia.

a) “Nikaelezwa hivi: ‘Yule mnyama wa nne ni ufalme wa nne utakaokuwako duniani. Ufalme huo utakuwa tofauti na falme nyingine, nao utaiangamiza dunia nzima..."
dan.7.23.BHN

b) "Lakini mahakama itafanya kikao; watamnyanganya utawala wake, nao utafutwa na kuangamizwa kabisa. Ufalme, utawala na ukuu wa falme zote duniani watapewa watu wa watakatifu wa Mungu Mkuu. Ufalme wao utakuwa wa kudumu milele, na tawala zote zitawatumikia na kuwatii.’"
dan.7.26-27.BHN

B) Huu utawala wa mwisho ambao Yesu anarudi kuuangamiza, wa chuma na udongo, wa Dan 2:41 ni utawala gani?

- Ni muunganiko wa mataifa ya magharibi na ya kiislamu?

- Ni Roman Catholic?

- Ni milki ya kiislamu?

- Ni UN?

- Ni utawala wa watu wenye muunganiko wa vyuma/kompyuta kwenye miili kama ile chip ya Elon Musk?

- Au kwakuwa Yesu alisema siku hizo zitakuwa kama za Noah, na kwakuwa Shetani na roho waovu wataachiwa duniani kipindi hiko (Ufu 12:10-12) basi utakuwa ni Ufalme wa binadamu + malaika waovu?

Mwaka jana kwenye bunge la Marekani mashahidi waliongea na kuomba classified reports za Aliens/UFOs ziachiwe.


View: https://youtu.be/RjpAG8QO8Z8?si=DpqHatpxJn6SgkG3
Ni kama tumeanza kutayarishwa kisaikolojia kwa huo uongo unaokuja ambao ingewezekana hata wateule wangedanganyika.

Danieli: "Hii inamaanisha kwamba watawala wa ufalme huo watachanganyikana kwa kuoana na watu wasio wa taifa lao, lakini hawatafaulu kuchanganyikana kama vile chuma kisivyoweza kuchanganyikana na udongo wa mfinyanzi."
dan.2.43.BHN

? ? ?

Binafsi nasubiri mambo yaive kwanza ndo tuelewe chuma na udongo ni nini.


C) Siku 1260 ni siku halisi, ambayo jumla ni miezi 42 au miaka 3.5. Tunajua kupitia Ufunuo.

a)
"Kisha huyo mnyama akaruhusiwa kusema maneno ya kujigamba na kumkufuru Mungu; akaruhusiwa kuwa na mamlaka kwa muda wa miezi arubaini na miwili."
rev.13.5.BHN

b) "Lakini mama huyo akapewa mabawa mawili ya tai apate kuruka mbali sana na hilo joka, mpaka mahali pake jangwani ambapo angehifadhiwa salama kwa muda wa miaka mitatu na nusu."
rev.12.14.BHN

Hizi siku bado hazijafika, na kweli haziko mbali. Zinahitimishwa kwa ujio wa Kristo.


D) Joka, mnyama wa kwanza na mnyama wa pili wa Ufunuo 13 ni kama utatu muovu, wanafanya kazi pamoja kama mpinga Kristo.

Tunajua shetani anataka kuwa kama Mungu na kuiga kila kitu chake, atatengeneza utatu wake.


Mnyama wa kwanza ni milki zilizokuwa zinatawala dunia, vichwa vyake huyo mnyama ndo milki moja moja. Nafikiri Mungu anaona utawala duniani kama limnyama tu kwenye dunia yake.

- Joka anampa mnyama wa kwanza mamlaka. Ufu 13:2

- Mnyama wa kwanza anampa mamlaka mnyama wa pili anahejulikana pia kama nabii wa uongo.-Ufu 13:12

- Wote watatu wanatupwa kwenye ziwa la moto.- Ufu 20:10


D) Macho yote sasa kuelekea Israeli maana Yesu alitupatia ishara ya kujua zile siku 1260 zimeanza.

“Basi, mtakapoona ‘Chukizo Haribifu lililonenwa na nabii Danieli limesimama mahali patakatifu, (msomaji na atambue maana yake),
hapo, walioko Yudea na wakimbilie milimani.
"Maana wakati huo kutakuwa na dhiki kuu ambayo haijapata kuwako tangu mwanzo wa ulimwengu mpaka leo, wala haitapata kutokea tena.
"Kama siku hizo hazingalipunguzwa, hakuna binadamu yeyote ambaye angeokoka; lakini siku hizo zitapunguzwa kwa ajili ya wale walioteuliwa."
mat.24.15-22.BHN


Anarejelea huku:
"...Mahali pa juu hekaluni patasimamishwa chukizo haribifu, nalo litabaki hapo mpaka yule aliyelisimamisha atakapoangamizwa kama ilivyopangwa na Mungu."
dan.9.27.BHN


Chukizo litakuwa kitu gani?

Labda ni Wayahudi watakapotoa kafara wale ng'ombe wekundu ili wajenge hekalu.

Au mpinga Kristo atasimamisha sanamu yake huko Yerusalemu.


One thing for sure, Yerusalemu itazingirwa na majeshi (waarabu / waislamu) baada ya tukio hilo.

So me nangoja kuona kimenuka Yerusalemu, nivae ndala nibebe mkate nisubiri maagizo ya Bwana, kama wana wa Israeli kutoka Misri. We leave everything behind. Coz it wont be pretty anywhere.

Labda Unasema kuna unyakuo kabla ya mpinga Kristo kufunuliwa? Sio kweli. Ni baada ya hizo siku.

Unless unakuwa mmoja wa watakatifu watakaokufa wakimshuhudia Yesu wakati wa zile siku 1260 basi watabaki kumshuhudia Bwana.

(I'm still learning about the Second Exodus, we already have God's people talking about this, the Lord is revealing this matter. There will be a second Exodus! ! !)

MAY THE LORD'S PEACE BE WITH YOU READERS!
 
Asante sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…