Je, tutarajie Rais Samia Suluhu kumrudisha Paul Makonda tena kwenye mfumo wa siasa?

Nimesema hapo kuwa HAKUNA asiye na mapungufu. Makonda bado ni kiongozi mzuri, uzuri wa kiongozi sio kuongea taratibu Bali ni kutekeleza na kuleta Maendeleo kwa watu
Hatutaki RC mwenye msambwanda kumzidi Shilole. Mwanaume gani yule?
 
Mtu anavamia vituo vya tv na bunduki,anateka watu anawatesa,anabambikia watu kesi bado anafaa tu kuwa kiongozi? Umelipwa sh ngapi jamaangu
 
Bwana ako? Watanzania Kibao hawajapaa nafasi za kuwa Viongozi hatutaki tena Wezi na Wanyang'anyi
 
Kuna watu na viatu, hivi mfano watoto wako wakijua kuwa unapata riziki kupitia kazi kama hii watajisikiaje?
 
Tumekubaliana hayo yashapita, tunaanza upyaa
Tunaanza upya ki vipi pumbavu! kama umempenda mpe mkeo hapa hana chake, serikali ya mama haitaki wauaji waliokuwa wakitumwa na mfu kutoa roho za raia
 
BASHITE unajipigia debe sio, vyeti huna. Tatizo umenyimwa akili ukajaaliwa makalio.

Siasa zako zakuua watu ni za kizamani, tumezifukia na Mtupoli.
Hakuna kupewa uteuzi wowote, ufai. Lete vyeti kwanza.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Zero Brain Bashite kama Bashite
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Labda akaongoze wasukuma huko kwenu.
 
Huyu Daudi Albert Bashite alipaswa awe kwenye kuta za gereza mpaka sasa hivi tunawashangaa wanaomlea huyu hana sifa ya kuwa kiongozi wa bodaboda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…