Je, tutarajie Rais Samia Suluhu kumrudisha Paul Makonda tena kwenye mfumo wa siasa?

Kwa vile amekutuma kamwambie yeye na wezi wenzake wanatakiwa wawe magereza haraka sn
 
Mama Samia ni mtulivu anapaswa afanye kazi na watu watulivu ili wote waruke pamoja.
 
Wanabodi, ni kawaida viongozi was taifa letu kulipa fadhila kwa wanaowasaidia kupata madaraka.

Leo nimeona clip inamwonyesha makonda akimpendekeza mama Samia kuteuliwa kuwa makamu was Rais 2015.

Makonda sasa anasota mitaani, je mama atamwokoa kwa kulipa fadhila?

My take
Mh Samia suruhu asimlipe fadhila kwa kumteua makonda huyu dogo ana element zilizopita za jiwe tena mpenda sifa.

Ninashaka clip ameipost yeye kumkumbusha mheshimiwa kuwa asingepata umakamu bila pendekezo lake, hivyo amkumbuke kwenye ufalme wake.
Mlipe kwa njia nyingine au ampe ubalozi
 
Ngoja tusubiri
 
Makonda hasoti mtaani , alifanya maamuz kabisa ya kuachana na masuala ya uongozi ,alitaka ubunge ili akapumzike mana ubunge hauna complications, imagine sa hv angekuwa mkuu wa mkoa wa Dar hyo pressure ya hapo ....jamaa aliona mbali Sana , ......
 
Kwa jinsi jamaa alivyovuna kipindi kile sahauni kujifananisha nae yule mfuko wake si baba
 
Huyu hawezi kurudishwa tena kwenye sistim
Maana ana laana za watu pamoja na za kimataifa
Mfano marekani wamemwambia asikanyage!
 
Ndiyo ivo anadai fadhila
 
Kama kitu hujui nyamaza
 
Nitashangaa sana iwapo awamu ya mpito kama hii, tukiendelea kuwakumbatia watu wanafiki na wajivuni kama makonda.
 
"Makonda sasa anasota mitaani, je mama atamwokoa kwa kulipa fadhila?". Kwamba Makonda anasota mitaani? Hivi mkuu unajua kusota kunavyofanana? Anyways kweye uzi mzima nimeona hapo tu japo ni nje ya mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…