Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa vile amekutuma kamwambie yeye na wezi wenzake wanatakiwa wawe magereza haraka snHabari wadau!
Binafsi natabiri ujio wa Paulo tena kwenye gemu baada ya Mama Samia Suluhu kuapiswa.
Pia namuomba Mama Samia Suluhu asije akamsahau Paulo kwenye utawala wake sababu zipo wazi Paulo ni jembe pia ni wembe akimrudisha tena itapendeza sana na atasaidia sana maana kama tunavyojua Paulo anajua Code nyingi sana za nchi,jasiri sio mwoga na mchapakazi ndio maana mzee alimweka karibu sana naomba apewe mda na nafasi atastaajabisha wengi.
Tusisahau maisha yanaenda kasi sana,wa juu anaweza kushuka chini na aliyeshushwa anaweza kuinuliwa.Mungu wetu ni mwema siku zote.
Chonde chonde mama nipo chini ya miguu yako tunamuitaji Paulo.,turudishie Paulo hata vijana wa Dar wamemmiss sana.
Mama Samia ni mtulivu anapaswa afanye kazi na watu watulivu ili wote waruke pamoja.Habari wadau!
Binafsi natabiri ujio wa Paulo tena kwenye gemu baada ya Mama Samia Suluhu kuapiswa.
Pia namuomba Mama Samia Suluhu asije akamsahau Paulo kwenye utawala wake sababu zipo wazi Paulo ni jembe pia ni wembe akimrudisha tena itapendeza sana na atasaidia sana maana kama tunavyojua Paulo anajua Code nyingi sana za nchi,jasiri sio mwoga na mchapakazi ndio maana mzee alimweka karibu sana naomba apewe mda na nafasi atastaajabisha wengi.
Tusisahau maisha yanaenda kasi sana,wa juu anaweza kushuka chini na aliyeshushwa anaweza kuinuliwa.Mungu wetu ni mwema siku zote.
Chonde chonde mama nipo chini ya miguu yako tunamuitaji Paulo.,turudishie Paulo hata vijana wa Dar wamemmiss sana.
Ngoja tusubiriWanabodi, ni kawaida viongozi was taifa letu kulipa fadhila kwa wanaowasaidia kupata madaraka.
Leo nimeona clip inamwonyesha makonda akimpendekeza mama Samia kuteuliwa kuwa makamu was Rais 2015.
Makonda sasa anasota mitaani, je mama atamwokoa kwa kulipa fadhila?
My take
Mh Samia suruhu asimlipe fadhila kwa kumteua makonda huyu dogo ana element zilizopita za jiwe tena mpenda sifa.
Ninashaka clip ameipost yeye kumkumbusha mheshimiwa kuwa asingepata umakamu bila pendekezo lake, hivyo amkumbuke kwenye ufalme wake.
Mlipe kwa njia nyingine au ampe ubalozi
Ndiyo ivo anadai fadhilaMakonda na Mama Samia haziendi hata nusu! Majaliwa ndiyo basi kabisa!
Pindi Makonda akiwa Mkuu wa Mkoa alikua anawadharau sana VP na PM hadi kufika kusema kwamba Tanzania nzima,wanaofanya kazi kwa nguvu na bidii ni yeye na Magufuli!
Pili kama Ofisi ya Waziri Mkuu ya TAMISEMI ingekua bado ipo chini ya PM, Makonda angekua keshatumbuliwa zamani sana,hata miaka 5 asingefikisha!
Kama kitu hujui nyamazaMakonda na Mama Samia haziendi hata nusu! Majaliwa ndiyo basi kabisa!