wakuja town
JF-Expert Member
- Oct 26, 2020
- 898
- 1,343
Mtabiri pekee ambae mpk sasa jf imebarikiwa kuwa nae ni "Tumia akili ".Watabiri wa jf uwa mnapuuzwa kwa kejeli lakini mwisho wa siku mikeka yenu ikitiki,utasikia"mkuu uliona mbali"na like za kumwaga.
Fala huyu hajapitia jeshi lolote.View attachment 1733334
Naona anatafuta kuongelewa kwa nguvu nying sana
Unashangaa umetokea mnaanza oo kalienda kakaludiMtabiri pekee ambae mpk sasa jf imebarikiwa kuwa nae ni "Tumia akili ".
Refa kaondoka uwanjani .unazani uyu bwana ata pata ata penalty .
Hajui utaratibu wa kupiga saluti na sijui kama amewahi kupitia mafunzo yoyote ya kijeshiHivi kwanini amepiga Salute?! Isije kuwa alimpeleka jeshi au usalama baada ya kumtoa ukuu wa mkoa [emoji849]
Inasemekana alikua nje kuongeza elimu.
Siku izi anaangaliwa mtu sio kabilaZamani hivi nilikuwa wanasema “usimpe urais wa nchi Msukuma, Mchagga, Mnyakyusa, Mhaya na kabila la 5 sijui lipi
Sasa baada ya Msukuma wote tumeona
Angebana mikono selule huyu hata hajielewiFala huyu hajapitia jeshi lolote.
Huwezi kupiga salute ukiwa kiraia, basic military training.
Askari katika kiraia una click the heels, heshima sawasawa na salute!
Kwani haujui anamahusiano na mama pia?Nafikiri hamna jinsi tena kwani huyu ana misiba miwili, 1- kafiwa na mentor wake 2- msiba wa pili anajua kaharibu sana ndani ya chama hivyo hana rafiki atakayembeba tena kama marehemu aliyekuwa anafumba macho kila pale alipofanya fuckup za wazi
system ya ccm haihitaji elimuKwa Elimu gan? Aliyonayo?
Pasco na mshana jr je?Mtabiri pekee ambae mpk sasa jf imebarikiwa kuwa nae ni "Tumia akili ".
ni kweli lakini mama atakuwa na washauri wanaomjua makonda a - zKwani haujui anamahusiano na mama pia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh, asije akapewa umakamo wa Rais tu [emoji28]
Nini kinakufanya uweze hivyo? Kama ni system ilimtoa kwani nayo haipoHabari wakuu
Nianze moja kwa moja kwenye maada. Namna upepo unavyo vuma naona Makonda milango inafunguka kwa mara nyingine tena. Baada ya msiba mkubwa wa kitaifa kuondokewa na Rais wetu JPM, sasa naona nyota ya mwamba Makonda itachomoza tena ili kulikava hasa ngazi za juu za kiuongozi
Wale wenye jicho la tatu hebu njooni tuliangalie hili
Hawa watu pia ni hazina ya jf kwenye masuala mbalimbali ya kisiasa na kijamii kwa ujumla wake.Pasco na mshana jr je?