Je, tutarajie Rais Samia Suluhu kumrudisha Paul Makonda tena kwenye mfumo wa siasa?

Wajinga wakubwa wa hii nchi wanaongozwa na Chalamila na Makonda ni namba mbili, Ole Sabaya siyo mjinga ila ni mhalifu sugu.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Hongera Makonda kwa kujipigia debe.
Ile tahadhari waliyoiweka Waamerika juu ya huyu ndugu si bado ipo? Nadhani hii ndio inamuharibia hata wangependa kumpaisha.
 
Watu wa humu huwajui? Humu hata diamond hawezi kupata kura 10, watu wa humu ni......
Nawajua vizuri sana mkuu kuliko unavyodhani nipo humu ndani zaidi ya miaka 15 so siasa chafu na michezo michafu yote ya siasa hunifundishi...Najuwa ndani nje ndio maana nikasema kama sio wewe Makonda sawa ila kama ni wewe mwambie kwa sasa alee familia....
 
Kwa iyo tufanyeje.
Ebu kamtafute yeye mwenyewe umwambie bro ,,,ww ni kiongozi mzuri sisi hayatuhusu
 
Huyu bashite si alikuwa anahusishwa na genge la kuteka na kudedisha watu
 
Kwanza yuko wapi? Kama hana kaz ahame mji wetu yeye alituambia Kama hatuna kaz ya kufanya tuhame

Naagiza mgambo wa jiji wamsake huyu bashite arudishwe koromije haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…