Je, tuunganishe doti? Kwa nini Lema ameongea hayo siku Tano kabla ya hukumu ya Lissu?

Mtoa mada kasikilze press tena
Your browser is not able to display this video.
 
Hapa ndio unaona umecheza bonge la mindgames. Wajinga walishaisha, labda ukawapotoshe Wakulima huko vijijini.

Ukweli utabaki Ukweli kukimbiwa Ukweli sio kutatua tatizo

Lazima tuseme kweli mimi Mdogoee sijawai kusimama na uwongo tangu hakuna kumbukumbu kama hiyo

Ukweli wazo la kususia Uchaguzi sio zao la viongozi wa Kaskazini ndani ya Chadema

Kauli ya Mzee mbowe kabla
hakuwa na maana kweli watasusia Uchaguzi mkuu wa kitaifa ❗ wenye chama ni wafuasi

Wenye wafuasi ni viongozi kutokea Kaskazini huu utabaki Ukweli mchungu

Wenye wafuasi hawakupenda kuzuiya Uchaguzi kupitia migongo ya wafuasi wao kutokea Kaskazini
Wameenda kuzoa watu wa Kaskazini

Kwanini wazuiya Uchaguzi hawakwenda kuchukua watu kutokea mikoa mingine ‼️

Heshima ni matendo brother
Watu wamekufa family zinalilia Watoto wao mikoa ya Kaskazini majibu hakuna ‼️

Mapinduzi ndani ya Chadema ni swala la muda tu

Tena Serikali hawatousika kivyovyote kwenye Mapinduzi ya uwongozi Watu wanalilia DAMU Chadema

viongozi wa kabla kutokea Kaskazini kimewalea wanachama miaka zaidi ya 20+

Wamekuja viongozi wapya wamewaingiza kwenye Mapambano watoto wafuasi kutokea Kaskazini ndiomana wamekufa wengi ❗
 
Niliwai kusema pengine Chadema wamesahau hawa viongozi wapya
Wazo zuri kwenu viongozi wapya ni moja tu kwasasa ni Chama kuamisha makao makuu yake mikoani mnapotokea viongozi wapya lau hapana

Mtakuja kukimbilia chini ya miguu ya polisi wengine mtakimbia kwa miguu ❗

Watu wa Kaskazini watavamia office zenu muda sio muda✍️
 
CHADEMA KINA DAMU YA WATU WA KASKAZINI WATAVAMIA OFFICE ZENU,

Endeleeni kukuyanya tone tone
 

Attachments

  • IMG-20261004-WA0135.jpg
    61.3 KB · Views: 1
  • 6383535-d2a99db8c1716a1080d26b345b5eadf6.jpg
    20.3 KB · Views: 2
  • IMG-20260827-WA0012.jpg
    22.3 KB · Views: 1
Bado unaishi kwenye propanda za Karne ya 19, na unaamini zitafanya kazi hadi Karne hii. Yaani ni kama unalazimisha kutumia CD kwenye zama za flash disk na memory cards. Toka nje ya box we boya utachekwa.
 
Vifo vya Mo29 wengi wawaliokufa ni kutokea Kaskazini %80
Uongo huu,
Kwa yale mauaji ya halaiki MO29, wauaji policcm, kmkm, nk walifanya mauaji makubwa zaidi kwenye mikoa ya Mbeya, Songwe, Mwanza, Mara, Arusha, Dar... Kudai kuwa 80% ya mauaji yalifanyika "kaskazini" ni propaganda na upotoshaji wa wazi wa machawa wa wauaji/watekaji/wafiraji
 
..Spika Zungu ndiye aliyemjibu Mbunge toka Ujerumani kwamba Chadema na Diaspora ndio chanzo cha mauaji. Hebu nenda karudie kusikiliza Press ya Lema halafu ujenge upya hoja yako.
Ok sawa narekebisha kisehemu hicho.
Lkn lema kakitumia kiania kuwasafisha watesi wetu.
 
Lema kafanya press kwa paniki naamini Kuna Maneno mda huu. Anajilaumu kwa Nini aliongea ..
 
Lema ni mjinga kweli, anafanya press kujibizana na kina Mange, na anataka chama kitoe tamko la kuwakataa kina Mange kama vile kina Mange ni wanachama wa cdm.
 
Nguvu kubwa inatumika kuwakatisha tamaa Watanzania na nia moja wapo ni kupunguza idadi ya watu watakaopata shauku pale atakapoachiwa huru.

Lema anafanya kazi hiyo kwa nafasi yake kwa kuibua mgogoro.

Moja ya kitu kitakachomkatisha tamaa Lissu ni iwapo ataachiwa huru halafu nje akute hamna watu. Hiki ni kitu ambacho watesi wake wanaombea na wanafanya juhudi kubwa kitokee.
 
Sio kama Lema amewaandaa watu zaidi naona amevuruga zaidi
 
Porojo
 
Ok sawa narekebisha kisehemu hicho.
Lkn lema kakitumia kiania kuwasafisha watesi wetu.

..hajawasafisha watesi wetu.

..isipokuwa anaeleza jinsi hali ilivyo ngumu huko nje.

..wanaharakati walioko Diaspora wanatakiwa waongeze nguvu kuzieleza mamlaka za huko waliko unyama wa serikali ya Ccm.

..kwa mfano, mimi sijamsikia Mange Kimambi amefanya jitihada zozote kuieleza serikali au bunge la Marekani unyama unaofanywa na Ccm.
 

Acheni siasa mavi Samia amemua watu kulinda madraka ndo maana aliapishiwa porini hakubaliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…