Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
- Thread starter
- #21
Point hii, nimeiscreenshot.Hakuna kazi kwenye local gvt ukiwatoa (wakuu wa idara) unayoweza kutoboa kama hauna nidhamu ya pesa na usipojiongeza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point hii, nimeiscreenshot.Hakuna kazi kwenye local gvt ukiwatoa (wakuu wa idara) unayoweza kutoboa kama hauna nidhamu ya pesa na usipojiongeza
Zile nafasi za sensa ziliwashushia hadhi mno jinsi walivyotoa povu kuzihangahikiaUtofauti wao ni uhuru labda, lakini ualimu naona Kama hauna issue nashuhudia watu wapo kwenye kada mwaka wa 20 lakini akikosa nafasi ya kusimamia mtihani ni mgogoro.
Unazingumzia sensa million Moja kaka, watu wanatoana heshima kisa kazi ya 150,000/=. Ukipata wewe yeye akakosa anaona kama umemzidi, Mimi nadhani kikubwa ni kujiongeza kwenye namna nyingine SEMA fitina na chuki nazo ni nyingi mnoo.Zile nafasi za sensa ziliwashushia hadhi mno jinsi walivyotoa povu kuzihangahikia
😁😁😁 Kama ulikuepo mzee, haswa hapo kwenye makato ya CWT, makatibu walishawaonga HR pamoja na DED hata ifanye nini utakatwa tu, na huna sehemu yoyote ya kwenda kusemea unaona eeh? Pia kwenda marking ni kitu ambacho inabidi ukisahau kwanza kwenye maisha Yako itokeee kama bahati maana wengine tokea waajiriwe Wana miaka 20 na hawajawai kwenda Marking.Ualimu ni shida uko akuna posho, akuna pesa ya kinywaji, akuna pesa ya pango, pesa ya likizo mbaka uende ukadeki pagala la mkurugenzi na akuchapie mkeo ndo upate, promotion mbaka ukaroge, seminar mbaka umuonge mkuu wa shule na afisa elimu, kusimamia mitihani 10% Kwa mkuu, kuenda mark mbaka yesu aludi, mikwara kibao shule aina computer lakini mkurugenzi anataka mtoe A za SoMo la computer, ata mjumbe wa nyumba kumi bosi wako anaweza akaja shule akakufokea Kwa Nini ofisi chafu aujadeki na ikiwezekana kama una kimwili kidogo anakulamba na viboko vitatu vya nguvu, pesa ya mwenge utaki unataka utatoa, makato ya Cwt unayataka uyataki itakatwa TU lete fyoko ushughulikiwe
Walimu si wana bank yao...?Inabidi hazina waongeze nguvu Sasa kwenye mikopo yao ya halmashauri, zipunguze ukiritimba ili ziwasaidie walimu, kuliko kwenda kukopa NMB,CRDB unakopa Million 20 unarudisha million 38 Sasa si wizi huo?
Sio tu kufundisha wanafunzi kitu ambacho huyo mzazi hajajua Kila sector Ina mwalimuBila mwalimu, nani angefundisha mwanafunzi sasa?, Huyo mzazi akili yake haina akili,
Sasa Kwa hizo sababu kwa nini watu waendelee kuipenda hyo kazi SI ya laana hiyo akuna kitu kipo sawa😁😁😁 Kama ulikuepo mzee, haswa hapo kwenye makato ya CWT, makatibu walishawaonga HR pamoja na DED hata ifanye nini utakatwa tu, na huna sehemu yoyote ya kwenda kusemea unaona eeh? Pia kwenda marking ni kitu ambacho inabidi ukisahau kwanza kwenye maisha Yako itokeee kama bahati maana wengine tokea waajiriwe Wana miaka 20 na hawajawai kwenda Marking.
Marahaba kijana mwadilifu.Sio tu kufundisha wanafunzi kitu ambacho huyo mzazi hajajua Kila sector Ina mwalimu
huko clinical anakotaka mwanae akasome hajui kma anayemfundisha anavaa nafasi ya ualimu
Na mwisho Kila aliyesoma alifundishwa na mwalm kwanza ndio hizo mbwembwe nyingine zinazompa kibri mtaani sijui anajiita docta zikafuata.
Nawapenda sana walimu wangu walionifundisha kuandika A, E, I, O, U ndio wamenipa ujanja Leo na comments JF kama hv.
Shikamoni walimu popote mlipo
Sasa mkuu tunaishi kwenye Dunia ya pesa, unawezaje kutoa elimu wakati wewe viatu vinachanika upande Mmoja? Unampokea mwanafunzi form one anamaliza form four na kuendelea na vidato vingine after 10 years ya kujitafuta siku akijipata anakuacha wewe huko palepale huna Cha kujivunia je maisha ndio yanahitaji hivyo?Ni swala la mindest na kujua unahitaji nini katika MAISHA na kipi dunia inakudai
Binafsi ualimu ni kazi nzuri , kazi yangu ya kuwapa watu maarifa naithamini Kwa ukubwa Sana.
Kuna watu walikuwa wameshakata tamaa kuwa wao sio chochote ila tumewasimamisha tena.
Kuna vitu huwa nawapa watu kutoka moyoni na najua hakuna pesa ambayo inaweza kufidia thamani ya maarifa ninayowapa watu.
Ikiwa naishi vizuri , naenda nje natoa maarifa Kwa jamii yangu Kwa namna moja basi hii kazi ni bora.
Katika dunia hii ya leo kitu pekee kitakachokupa thamani ni kuwajenga watu kiakili na kuwapa maarifa sahihi.
Haya maneno ya kudharau ualimu ndo chanzo cha watu kuishi maisha magumu maana MTU anajua akusaidieje Ila kutokana na Ego inayokusumbua anakuacha unateseka katika dimbwi la ujinga.
Sasa Kwa hizo sababu kwa nini watu waendelee kuipenda hyo kazi SI ya laana hiyo akuna kitu kipo sawa
Ualimu ni fani pana Kama unafikiri tunafundisha watoto tu umepotea.Sasa mkuu tunaishi kwenye Dunia ya pesa, unawezaje kutoa elimu wakati wewe viatu vinachanika upande Mmoja? Unampokea mwanafunzi form one anamaliza form four na kuendelea na vidato vingine after 10 years ya kujitafuta siku akijipata anakuacha wewe huko palepale huna Cha kujivunia je maisha ndio yanahitaji hivyo?
Sio tu kufundisha wanafunzi kitu ambacho huyo mzazi hajajua Kila sector Ina mwalimu
huko clinical anakotaka mwanae akasome hajui kma anayemfundisha anavaa nafasi ya ualimu
Na mwisho Kila aliyesoma alifundishwa na mwalm kwanza ndio hizo mbwembwe nyingine zinazompa kibri mtaani sijui anajiita docta zikafuata.
Nawapenda sana walimu wangu walionifundisha kuandika A, E, I, O, U ndio wamenipa ujanja Leo na comments JF kama hv.
Shikamoni walimu popote mlipo
Nawapenda sana walimu wangu walionifundisha kuandika A, E, I, O, U ndio wamenipa ujanja Leo na comments JF kama hv.
Hakuna bank zaidi ya wizi mkuu, mambo hayaeleweki, CWT Anaiba Hela waziwazi na hakuna kitu kinafanywa na serikali, unaenda kulalamika kwa DED, Anakuona kama mpuuzi tu. Lakini muda Mwingine unaweza unaelewa kwanini watu ambao ni middle class wanajiona Wana maisha kuliko walimu.Walimu si wana bank yao...?
Hapana anaedharau lakini vyote umevipata nje ya kufundisha kujiongeza kwenye mambo mengine kabisa, na Tena Kama huko halmashauri na vita umepigwa haswaaUalimu ni fani pana Kama unafikiri tunafundisha watoto tu umepotea.
Ualimu unalipa Sana siwezi Ku-expose nini namiliki au nini ninacho Ila endeleeni kudharau kazi za watu.