Je, uandishi wa member wa JF unamtambulisha tabia yake?

Eti anasema mtoto atanogewa!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi tumuweke kwa babu migambuti [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Jamani babuu migambutiii yuko wapiiii?? Au yuko kwa fekeroo ID, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maan yulee hata haelewekii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifanya nichekee wallah
Kuna mdada kapata prosoo wa TRA, alimdanganya amle afu ndo ampe kazi, kamla na hata kazi hajampa.

Anavo lalama sasa, woiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🀣🀣🀣🀣🀣 Watoto watatafunwa sana na hayo mambo Yao ya kuita watu 3000 kwenye interview
 
🀣🀣🀣🀣🀣 Watoto watatafunwa sana na hayo mambo Yao ya kuita watu 3000 kwenye interview
Sina hamu sie tulikuwa zaidi ya elf 5 jmn kwenye interview ya tea
Mbona niliondoka,nikaona hamna kitu hapa😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…