Je, uandishi wa member wa JF unamtambulisha tabia yake?

Ni kweli!

Mfano mimi siasa nafuatilia sana,sio wa church wala mosque japo kote nina uhuru wa kuingia,mahusiano mara nyingi nikiwa na njaa kwa sana ndio utaniona!

Msomi by nature sio msomi we certifacates. Yaani a natural reader hence ni kama nimejitenga nikiwa kazini coz Alone chilling reading,digesting and living in imaginary world!!

Hisia za ghafula za upendo na tamaa ambazo hutoweka ghafla baada ya kugundua ukweli fulani!!

Perfectionist and melancholy coz always disapointed with so many staff!aiseh so many !I rest my case!
 
Unknown

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Sidhani Kama haya yanayoandikwa ni 100% taswira ya mtu anachokiamini.

Kwenye maisha ya kawaida unaweza kuta Mr Liverpool Ana mke wa ndoa 😀😀
 
Wewe hapo ni MaMtumishi

[emoji1545]
Inaweza kuwa kinyume chake;
1. Kuna watu wana mwandiko wa kimcharuko lkn maisha halisi ni watu sana.

2. Kuna miandiko ya kitumishi humu lkn deep down ni watu wa hovyo sana.

Usiuamini mwandiko.
Kuna watu katika maisha halisi wamenishangaza sana ni vitu viwili tofauti

Unaweza kukuta hata Mzee wa kupambania na mzabzab ni bonge la watumishi wa Mungu
siku ya ibada wananena kwa lugha kabisa😂😂
 
Sisi wengine labda ukaroge tabia zetu zipo dynamic.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Kama wewe hapo umebold maandishi, mtaani huko inaonyesha utakuwa unapenda sana kufokea watu. Asbh mpk usiku we ni kufoka tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…