Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti nini 🤣🤣🤣🤣🤣Mtoto akililia wembe mpe. Yeye wacha ajipitishe atashangaa mie nachokonoa meno tutoa vuzi lake kwenye meno yangu
Sijui kawaza Nini kukufananisha na wambwindembwindeHahahahahah kumbe unajua hilo, mi kijana mtanashati mno wachache tu wananifahamu humu.
Mbona kwenye group letu la wadada private umeonekana wewe ni pasta?hujatongoza hata mmoja,,,ila Kuna wenzio ambao ni wapoleee wameshika number za juu sana hongera👍🤣🤣Wee kama uanaamini hivyo who am i to argue against that.
Ila waulize tuu wale mademu wa jf ambao nilishapita nao kama hawaisomi namba kwa sasa🤣🤣🤣🤣
Naam MkuuUkimwi 👀
Mbona ukajiita "ukimwi" mkuu?Naam Mkuu
Mbona kama nakujua,we sio ???Mkuu mbona mmmhh🤔🤔🤔
Sifa za mzabzab zimesambaa toka uyahudi hadi duniani kote, nakuonya love🤣🤣🤣Hana lolote! psychologically mzabzab Hana hiyo tabia,,, hakuna Malaya anayejinadi hiyo ingemuondolea credit ya kutimiza ouvu wake....huyo ni mtu mwema,Watendaji wenyewe wapo kimya wanatafuna tu kondoo from one place to another 🤣🤣🤣
Wanijua mimi Joannah??Mbona kama nakujua,we sio ???
Kama nakufananisha na mheshimiwa flani hivi MNECWanijua mimi Joannah??
Wadada mnapenda bad boys, sie wapole mnasema we're not good in bed🤣🤣🤣🤣Kwamba ye ni mtu hatari?huyo hana tofauti na Mandonga mtu kazi...
Ulishawai kukutana na ONTARIO live?Nikikumbuka nondo na madini ya ONTARIO huwa na amini JamiiForums ni zaidi ya dunia.
Niko tofauti sana kwenye hicho kipande....achana na wapole ni bad news,yaani ukiona mkaka mkimyaaa ha haaaaa ni balaaWadada mnapenda bad boys, sie wapole mnasema we're not good in bed
Basi pole mkuu,duniani wawili wawiliHii sasa kali. Maana sina uheshimiwa wowote.... Watu mnakuja na id mpya tunajua ni mgeni. Kumbe I'd yako ya zaman tulikua tumezoeana pakubwa tu
Legend katika ubora wako, kumbe wakimya nao ni noma sana🤣🤣Niko tofauti sana kwenye hicho kipande....achana na wapole ni bad news,yaani ukiona mkaka mkimyaaa ha haaaaa ni balaa
Hawana papara,wana,focus mnoo🤣🤣🤣🤣🤣Legend katika ubora wako, kumbe wakimya nao ni noma sana🤣🤣
Wanafocus...hahaha! Taratibu lakini shughuli yao utaipenda🤣🤣 legend u know inanyesha eenh!!Hawana papara,wana,focus mnoo🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Wacha tu inyeshe tuone inapovuja.......achana na wapiga kelele kama kina mzab na washirika wake wanazongua sana hao hawafocus kabisaWanafocus...hahaha! Taratibu lakini shughuli yao utaipenda🤣🤣 legend u know inanyesha eenh!!