Je, Uchawi una mchango wowote katika kukuza Biashara?

Inategemea na mganga mwenyewe na mfumo wake mbona kuna waganga matajiri wana magari na majumba ya kifahali
 
sasa kaka kama MUNGU mwenyewe kunyang'anya shetani kasehemu kautajili kadogo tu anipe mimi, JEE???? mimi mwanadamu ambae sijakamilika ntaweza?????????
 
Mkuu unataka kusema manyau nyau yuko vibaya hahahaaa labda haumfaham vzur yule jamaa ana nyumba ninazozijua anapangisha si chin ya nne iyo n tabata tuu na izo nazijua sababu sister wangu amepanga
Manyau nyau yule kajenga kwa UTAPELI, Hakuna uganga pale. Anawapiga wateja wake then anajenga. Just like Akina Gwajima na Mwamposa
 
Nimekuelewa saaana Tena saana kabisa huo ndiyo Ukweli ukitafuta ukweli mwingine itakuwa uongo
 
Siamini hivyo vitu, mganga sasa nyumba ya nyasi na watoto viriba tumbo huku wake zake wanne wakiwa hawana nuru kabisa.
Kwani mlinzi wa rais ni rais?
Ukilitafakari vizuri hilo swari hutashangaa wala kujiuliza uliyoyasema. Witch doctor is just an agent
 
Ukiona mtu amepita na chuma kipya utafikiri kimetoka kiwandani leo, Jiulize
Ukiona kwa siku mtu anauza milioni 100, 200 n.k jiulize
Ukiona mtu tajiri anavaa rafu rafu, jiulize
Ukiona mtu tajiri, biashara zake zinakuwa na misimamo, mara siku x au muda x sifungui,jiulize
Ukiona tajiri anafanya sherehe sherehe za kuchinja wanyama nyakati fulani, jiulize
Ukiona tajiri ana watoto wachache, jiulize n.k
 
Kwani mlinzi wa rais ni rais?
Ukilitafakari vizuri hilo swari hutashangaa wala kujiuliza uliyoyasema. Witch doctor is just an agent
Hakuna Agent anayekubali kuneemesha wenzie huku hali yake ikiwa pangu pa kavu.
 
Mbona sijasemea Imani ya mtu? Nimemsapoti kwa Imani Yake, Pana shida gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…