Je, Uchawi una mchango wowote katika kukuza Biashara?

Je, Uchawi una mchango wowote katika kukuza Biashara?

Inategemea na mganga mwenyewe na mfumo wake mbona kuna waganga matajiri wana magari na majumba ya kifahali
 
Ngoja nikupe elimu kidogo kuhusu utajiri
Kwanza kuanzia Leo utambue hili, Mungu alipomuumba Adam na Eva aliwapa utajiri wote wa duniani na fahari zake wazimiliki, lakini walipohasi kwa Mungu kwa kumsikiliza shetani, utajiri wote wa duniani ukawa ni Mali ya shetani, wanadamu hatumiliki tena utajiri wa hapa duniani.
Sasa ili kuwa tajiri una options mbili tu
(1) umuombe shetani akupe sehemu ya utajiri anaomiliki, hii inawezekana kama ukikubaliana na masharti yake, na siku ukienda kinyume anakunyang'anya.
(2) umuombe Mungu akupe sehemu ya utajiri alioushikilia Shetani, na hii inawezekana kama utakuwa muombaji sana na mtakatifu haswa, kumyang'anya shetani sehemu ya utajiri wake si rahisi kihivyo.

Usijidanganye kama unaweza kuwa tajiri kwa kufuata seminar za motivation speaker peke yake, utajiri wote anao shetani, ni either uungane naye au upambane kumyang'anya.
sasa kaka kama MUNGU mwenyewe kunyang'anya shetani kasehemu kautajili kadogo tu anipe mimi, JEE???? mimi mwanadamu ambae sijakamilika ntaweza?????????
 
Mkuu unataka kusema manyau nyau yuko vibaya hahahaaa labda haumfaham vzur yule jamaa ana nyumba ninazozijua anapangisha si chin ya nne iyo n tabata tuu na izo nazijua sababu sister wangu amepanga
Manyau nyau yule kajenga kwa UTAPELI, Hakuna uganga pale. Anawapiga wateja wake then anajenga. Just like Akina Gwajima na Mwamposa
 
Ngoja nikupe elimu kidogo kuhusu utajiri
Kwanza kuanzia Leo utambue hili, Mungu alipomuumba Adam na Eva aliwapa utajiri wote wa duniani na fahari zake wazimiliki, lakini walipohasi kwa Mungu kwa kumsikiliza shetani, utajiri wote wa duniani ukawa ni Mali ya shetani, wanadamu hatumiliki tena utajiri wa hapa duniani.
Sasa ili kuwa tajiri una options mbili tu
(1) umuombe shetani akupe sehemu ya utajiri anaomiliki, hii inawezekana kama ukikubaliana na masharti yake, na siku ukienda kinyume anakunyang'anya.
(2) umuombe Mungu akupe sehemu ya utajiri alioushikilia Shetani, na hii inawezekana kama utakuwa muombaji sana na mtakatifu haswa, kumyang'anya shetani sehemu ya utajiri wake si rahisi kihivyo.

Usijidanganye kama unaweza kuwa tajiri kwa kufuata seminar za motivation speaker peke yake, utajiri wote anao shetani, ni either uungane naye au upambane kumyang'anya.
Nimekuelewa saaana Tena saana kabisa huo ndiyo Ukweli ukitafuta ukweli mwingine itakuwa uongo
 
Siamini hivyo vitu, mganga sasa nyumba ya nyasi na watoto viriba tumbo huku wake zake wanne wakiwa hawana nuru kabisa.
Kwani mlinzi wa rais ni rais?
Ukilitafakari vizuri hilo swari hutashangaa wala kujiuliza uliyoyasema. Witch doctor is just an agent
 
Ukiona mtu amepita na chuma kipya utafikiri kimetoka kiwandani leo, Jiulize
Ukiona kwa siku mtu anauza milioni 100, 200 n.k jiulize
Ukiona mtu tajiri anavaa rafu rafu, jiulize
Ukiona mtu tajiri, biashara zake zinakuwa na misimamo, mara siku x au muda x sifungui,jiulize
Ukiona tajiri anafanya sherehe sherehe za kuchinja wanyama nyakati fulani, jiulize
Ukiona tajiri ana watoto wachache, jiulize n.k
 
Kwani mlinzi wa rais ni rais?
Ukilitafakari vizuri hilo swari hutashangaa wala kujiuliza uliyoyasema. Witch doctor is just an agent
Hakuna Agent anayekubali kuneemesha wenzie huku hali yake ikiwa pangu pa kavu.
 
Kwani giza likimvuta kuna shida gani, ni nini kinachokuthaminisha kusema hiki ni giza na hiki ni nuru, imani mmezaliwa mmezikuta, mtakufa mtaziacha,
Namuheshim mtu anayejua kua kuna imani mbalimbali duniani, kila mmoja lazima ajue mpaka wake, baki katika imani yako na kua na ibada yako unayoijua na kuiamin wewe, mimi ntamuona mtu mpumbavu kama akiinanga imani ya mwingine kana kwamba aliyopo yeye ndio ya maana sana.
Mbona sijasemea Imani ya mtu? Nimemsapoti kwa Imani Yake, Pana shida gani?
 
Back
Top Bottom