GE2025 Je, Uharam wa ‘Candidacy’ ya Rais Samia hauwezwi kupingwa mahakamani?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sekta gani hizo
 
Kwa hiyo kwa kuwa CCM ukitaka nikubali hata mambo ya HOVYO ya CCM?

Hapo ndipo CHADEMA mnakosea. Kwa vile mko UPINZANI huwa mnapinga kila kitu cha Serikali hata kiwe kizuri!!
Kipi kizuri mdude kupotezwa
 
Kama unamkumbuka yule mzee 1 kilimanjaro alifungua kesi jina lake nimesahau kdg sema na yy ni mjumbe
 
Mkuu unazingumzia uharamu upi? Kwani mama ni mgombea. Je uchaguzi tayari?
 
Mkuu unazingumzia uharamu upi? Kwani mama ni mgombea. Je uchaguzi tayari?
Mchakato wa Kuteuliwa kwake ndani ya chama kuwa mgombea wa Urais kupitia chama chake ni haramu kwa mujibu wa katiba ya chama chake, hivyo ni mgombea haram!

Unless CCM waje hadharan wasema kwamba wametengua uteuzi wake wa kugombea uRais kupitia chama chao.., bado tutamtambua kama mgombea haram!
 
 
Nasikia kuna wazee kwenye ‘Kolido’ wanaongea ongea hukoo.., ngoja tuone kama kuna jambo wanaweza kufanya, Trillion 107 ndani ya miaka minne ni nyingi nyie, hili jambo haliwezi kupita hivi hivi..
Na mimi nimesikia. Ni kugumu kweli kweli. ''Bibi'' yuko kwenye hali mbaya.
 
Uyo polepole nani ndani ya CCM mnajisumbuaaa na ulokole wenu!!!!!!

RIP mzee JPM uyu mzee alipenda mawazo mapya hasa ya kipinzani pinzani ndio akawapa nguvu !!!

mfano Kitila Mkumbo, Mwita Waitara, rip Anna Mghwira, ESTHER Matiko, julias Mtatiro , na uyoo Polepole, NK !!

wote JPM ndio kawainua na Sababu walikuwa wapinzani poa ndicho alichopenda mzee wetu JPM !!!

kwaiyo leo kumuona Polepole nayeye ni kigogo CCM haaaaaaaa !!!

Polepole uyu uyu mnamjua lkn au !!

uyo Dogo alikuwa na mawazo pinzani lkn CCM kuna kitu wakakubaliana na Polepole gafla tukamuonaa kwenye TV sasa akiitetea CCM kweli kweli !!!

Baada ya Uchaguzi JPM akamteuwa kuwa katibu itikadi Uenezi CCM !!!

sasa leo kawa kigogo CCM mnachekesha sana!!

Na mnatapatapa sana walokole poleni tu
Rais Samia mpaka 2030 pasukeni tu.

uyo polepole
kakosa Toyota V8 macho yanamtoka !!

mtaama pia kwa Polepole kama mlivo hama kwa gwajima leo

CCM milele daima.



CCM milele amina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…