GE2025 Je, Uharam wa ‘Candidacy’ ya Rais Samia hauwezwi kupingwa mahakamani?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Basi sasa watendeeni mnatofautiana nao kimtazamo vile inavyostahili. Msiwateke na kuwapoteza wala msiwabambikie kesi.
 
Labda ingekuwa mahakama za Kenya, Malawi na Zambia.
Mimi nataka kuwa 'contrarian', angalau kidogo kwa hili, na kwa wakatui huu husika tulioPo.
Sababu zangu:
. Huko ndani ya CCM kwenye kumegawanyika. Kuwa mwenyekiti wa CCM hakuwaogopeshi mahakimu. Kuwa mkuu wa serikali (Rais), kwenyewe pia hakuogopeshi kama nyakati nyingine, kabla ya rais kuwa 'lame duck', kama alivyo sasa.

2. Jumanne Ibrahim, hayupo tena kwenye Ukuu wa Mahakama. Huyu alikuwa ni msimamizi mkuu kuhakikisha mahakimu wanakuwa kwenye mstari wa kutimiza matakwa ya GENGE la Samia. Kwa hiyo usishangae kuona mahakama ikijitutumua, ili ionekane tofauti na yaliyopita.

3. Ni nani ajuae, siyo mahakimu wote ni 'zero brain'. Huko huko kuna mahakimu wanaoumizwa na hali mbaya inayo endelea nchini.

Kwa sababu hizi na nyinginezo, siyo mbaya kuPieleka kesi mahakamani; iwe kama ni 'layer' moja ya mapambano na kundi hili linalotaka kulazimisha mtu wao kutawala nchi hii kwa nguvu.

Kama huko mahakamani kutashindikana, si maambano mengine yanaendelea?

NO REFORM, NO ELECTION; ipo palepale.
 
Kweli kabisa, mahakamani iwe kama kianzio, haiwezekani tusukumiziwe garasa kwa lazima namna hii
 
Kwa haya yanayotokea nadhan hata CCM deep down mnaona umuhimu wa katiba

Kwa sasa kama Taifa, hatuna Chombo kinachoweza kusimama against maamuzi Ovu ya Rais

Samia si tu kavunja KATIBA ya CCM
bali pia Kavunja katiba nchi; sasa Rais anaapa kuilinda katiba ambayo kumbe wala hata haijui na kuonesha Haijui hata katiba anayoapq nayo…… alifikia hatu kuifananisha na vitabu vya dini ambavyo sio Msingi wa nchi yetu

Niliwahi kuuliza swali,alifikaje huku juu huyu mtu ?
 
Mahakama hizi za phonecalls?
 
Mbona kwa jpm kujiteua hamkupiga kelele hivi. Au kwa vile ni muislam kinawauma. Jpm aliua mamia kwa mamiloni lakini kimya kilitawala. Ukizungumza tu unaliwa kichwa
 
Mbona kwa jpm kujiteua hamkupiga kelele hivi. Au kwa vile ni muislam kinawauma. Jpm aliua mamia kwa mamiloni lakini kimya kilitawala. Ukizungumza tu unaliwa kichwa
unafahanu kwamba Trillion 107 ukipakia kwenye treni ya SGR seat zote zinajaa na pesa zinabaki nje? Unajua hilo?
JPM alishindanishwa kwenye ngazi hatua zote, hapakuwa na fomu moja ya ugombea
 
Pole pole alisema form ya urais ipo moja. Labda kama umesahau nikurushie clip

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…