GE2025 Je, Uharam wa ‘Candidacy’ ya Rais Samia hauwezwi kupingwa mahakamani?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mimi najua wasomi hupambanua mambo kisomi, lakini msomi wewe ni mweupe kichwani. Ni vipi msomi umeshinwa kuona tofauti kati ya rais Samia na mgombea wa CCM Samia! Rais Samia hauwezi ukampinga mahakamani kulingana na katiba mbovu ya nchi, lakini mgombea wa CCM Samia unaweza ukampinga mahakamani kulingana na katiba ya CCM.
 
Sijaelewa hata umeandika nini , anyway, Kinachopelekwa mahakamani ni chama, kwa kushindwa kusimamia katiba yake.., hivyo baadhi ya wanachama wanaweza kwenda mahakamani kuipinga ile ‘Candidacy’ haram!
 
Kwa katiba iliyopo Rais anaweza kufunga account yako ya benki na kuchukua hela na hauwezi kushtaki popote. Haya yote alidhihirisha Rais aliyepita. Kwa haya unayoyasema ni mambo madogo sana Mama akiamua anaweza kufanya makubwa kuliko haya.
 
 
Kumbe sa100 ni mtaalam sana..
Hadi anaweza kusafiri mbele ya Muda.
Changamoto ni kusafiri pasipo kuaga nyumbani,..
Nyumbani kwao wanamtafuta
 
Kumbe sa100 ni mtaalam sana..
Hadi anaweza kusafiri mbele ya Muda.
Changamoto ni kusafiri pasipo kuaga nyumbani,..
Nyumbani kwao wanamtafuta
Wewe ni kinda wa mambo haya. JF kwenyewe umeingia 2023. Ni aibu mkongwe kama mimi kubishana na uzao wa 2000
 
Wewe ni kinda wa mambo haya. JF kwenyewe umeingia 2023. Ni aibu mkongwe kama mimi kubishana na uzao wa 2000
Kujiunga mapema haimaanishi una akili zaidi, na kuwa mkubwa kwa miaka hakumaanishi unafikiri sawasawa.

Kama una hoja, leta hoja. Kama huna, usitumie dharau kuficha udhaifu wa hoja zako.

Siku zote hoja hujibiwa kwa hoja, si kwa historia ya mtu.

Mimi niko hapa si kushindana kwa historia ya akaunti, bali kuchangia kwa akili. Kama huna hoja za kupinga kilichosemwa, kubali kimya au jenga hoja yako.
 
Umeandika pumba, nazo tukujibu? Kuna hoja gani ya kujibu kwenye post yako #148?

Mnatujazia servers tu
 
Umeandika pumba, nazo tukujibu? Kuna hoja gani ya kujibu kwenye post yako #148?

Mnatujazia servers tu
Tatizo lako hauna uwezo wa kujibizana hoja na mimi ndiyo maana unazidi kuniletea ngojera badala ya hoja..

Hii ya mwisho nakujibu therefore I ignore you.

Go and learn, when you understand where my level is belongs I allow you to come and bow... I will excuse you

Huna hoja Hujui mantiki ni nini?
Unafanya nijilaumu sana kukujibu...
Nakujibu kwa sababu nahisi una watoto..
Najilaumu sana kwa kuwa nimetumia hisia ...

Hii ilikuwa huruma kwa sababu sipaswi kukujibu...

Okay Good bye....
 
Upumbavu ni kama kifo. Aliyekufa hajijui ila wengine ndiyo wanamuona kuwa kafa. Na upumbavu ni hivyo hivyo
 
Kama wana Ubavu waende huko na wakishindwa watuambie kwanini waneshindwa 🤣🤣😅 !
 
Mahakama zetu zinaweza kusikiliza kesi za watanzania wanaoishtaki chadema lakini siyo za watanzania wanaoshtaki ccm.
Kwahiyo kama iko hivyo kweli na wao akina Polepole wamekubali iwe hivyo kweli basi hawana haki ya kuanza kubwabwaja huko mitandaoni wanatupotezea muda tu 😳 !

Kwa sababu hawana uwezo wa kutoa solution kwa kuwa wao pia ni sehemu ya hiyo problem 😳🙄 !
 
Mahakama gani?, hii ya hapa isiyo huru ama ipi?
Hili ndio swala la msingi kwa kweli. Binafsi nilitamani hilo litokee, ila ukweli Mahakama zetu duh, ndio zile alizotuambia Rostam Aziz, hizi zinachozea vyama vya siasa na wanasiasa wa upinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…