Je, ukiwa kwenye uhusiano wa Kimapenzi na Mwanamke ni lazima kumhudumia Kifedha?

Nikuulize mkuu wewe unaamini? Kwenye imani gani? Yaani namaanisha dini? Islamic au cristian ukiachana na hivyo tamaduni yako ni ipi? Kabila gani?

Hii nafikiri ndio itatupa muongozo wa swali lako tulijibu vipi?

Na kwa maelezo mafupi? Tu

Kuna cha kumpa demu/mchumba na ni tofauti cha kumpa mke- ukichanganya cha kumpa mchumba ukampa mke hapo utakuwa umekosea pakubwa sanaa

Hudumu zinatakiwa zitofautiane usije? Ukampa demu pakubwa siku akija kuwa mke wako wa ndoa ukashindwa kumpa kwa ukubwa ulee wa uchumbani ukaja kumkosa asitulie kwenye ndoa
 
Ww nae una yumba asa unampa buku2 kila siku za nini… Mtu anakuwa akuelewii yaani hiyo elfu 2 ya kufanyia nini


Chagua moja kuacha kumpa hela ajue wewe ni bahiri au kutafuta hela ya maana kumtumia

Swali…

Hiyo elfu 2 unampa kila siku?? Na huwa anakuomba ya nini??[emoji2957]
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…